Nataka nimpige marufuku asirudi tena

Nataka nimpige marufuku asirudi tena

Yye alionesha hisia za mapenzi sana ssa me kiukwel nkawa nachat nae tu namckilizia,ila show ndo hapana na nlijiapia ctokagusa

Heri angefanyia mbali me cna tatizo ila kuleta masela hom dah! kingom haipo kbsa

piga marufuku ww..shauri zako
 
Ukitaka kujua kuwa WANAUME wengi (baadhi ) wanatembea na wafunzi basi huu uzi ni reference tosha. ..
 
Hataki sasa
Labda nimvizie siku tukionana njiani maana kumfata hom nimuite dah!
Kwani mpaka umwambie? Dogo piga chini fanya mishe zako acha mambo ya kitoto. Akito....wa yeye wewe unaumia nini? Tulia kama kuharibu aharibu yeye kimpango wake sio wewe ndio uonekane chanzo cha kumuharibia. Sio kisa yuko kwenu ndio unamchunga kama mbuzi. Kumbuka hata ni maisha unaweza kuta baadae ukaenda kuishi kwake yeye ukiwa pimbi tu. Huoni kama utapata shida sana. Level up dogo fanya yako acha kufatilia issue zisizokuathiri chochote. Shenzi kabisa
 
Hakuna haja ya kutukana kaka
Me kama mtoto wa kiume sio poa kuona vishkaji vya kitaa vinakuja kumfinyia homland kbsa
Me ni mtu poa sana ndo maana mpaka sasa sijafanya lolote na karibu wiki inaisha so nnawaza ndo icho ambacho nmeona nije kwenu kuomba ushaur
 
Back
Top Bottom