Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Bado angalau miaka 12 ndio utaanza kuona faidaIla huyu mleta mada huenda ana hoja.
Hebu tu assume umekopa hiyo 50m ukajenga nyumba ya kupanga. Je, ndani ya miaka 7 itakua imerudisha hela ili uanze kupata faida?
Upo sahihi. Lakini kimahesabu ATAKUA ameweka cash zake 36m. Hizo cash zinaleta riba. Ikiwa hatachukua hizo riba, ATAKUA na jumla ya 102M at the end ya miaka 15.Kama hiyo 200K ni kwa mwezi.
200 000 ×(15×12)= 36,000,000.
Au nakosea.
Sure. Ikiwa ana source nyingine ya kulipia huo mkopo anaweza kupata faida. Asiwe anachukua chochote from Utt.Riba ya benki (wastani wa 18% kwa mwaka) ni kubwa kuliko faida ya UTT (wastani wa 13% kwa mwaka. Utapata hasara.
Ahsante kwa elimu mkuu HATA m nilitaka kujiulizaa bank ipi inatoanfaida zaidi ya uttRiba ya benki (wastani wa 18% kwa mwaka) ni kubwa kuliko faida ya UTT (wastani wa 13% kwa mwaka. Utapata hasara.
Unacheza pata potea ndugu ..marejesho bank sio chini ya milion kadhaa.maana ukikopa 10m roughly marejesho ni 800-900kNimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Hio sio pata potea ni Potea..Unacheza pata potea ndugu ..marejesho bank sio chini ya milion kadhaa.maana ukikopa 10m roughly marejesho ni 800-900k
hapana, hii tofautiNikweli mkuu unaakili sana
Hisabati ulipata ngapi!!?????Ukiweka utt 50m
Kwa mwezi utapata faida ya 500k
Kwa mwaka ni 6m
Je marejesho ambayo utakuwa unarudisha kwenye huo mkopo utatoa wapi???
Na kama utakuwa unakatwa kwenye mshahara then what?
Ushauri wangu weka kila mwezi laki mbili kwa miaka 15 utapata si chini ya 55m
Naam japo inqtegemea pia huo mkopo ni wa mda ganiMmmh japo sio mtaalamu wa maswala ya fedha ila mbona kama riba ya mkopo itazidi faida ya UTT
Mh!UTT ni zao la vanilla, Dec shaur yako
Ningekuwa mimi ndiyo wewe ningekopa hiyo hela then ningewekeza kwenye cryptocurrencies zenye future techs ambazo zitausaidia ulimwengu very soon current financial system itakapocollapse. Nina uhakika ungekuwa billionaire na watu wangesema wewe ni freemason. Elewa sijasema usiwekeze UTT! Ila kumbuka high risks high returns na uwekezaji kwenye cryptocurrencies inabidi uwe na uelewa tena mkubwa. if huna uelewa na hauko tayari kujifunza then nakushauri please usijiingize kwenye cryptocurrencies please wekeza tu UTT.Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Nafaham mkuu sema nimemtuliza huyo jamaa anayejifanya hamnazohapana, hii tofauti
Ni mweupeNna uhakika 100% umeyasema haya ukiwa hujui kitu chochote kuhusu UTT
Sasa hela yakukopa uweke tena kwenye risk kubwa?Ningekuwa mimi ndiyo wewe ningekopa hiyo hela then ningewekeza kwenye cryptocurrencies zenye future techs ambazo zitausaidia ulimwengu very soon current financial system itakapocollapse. Nina uhakika ungekuwa billionaire na watu wangesema wewe ni freemason. Elewa sijasema usiwekeze UTT! Ila kumbuka high risks high returns na uwekezaji kwenye cryptocurrencies inabidi uwe na uelewa tena mkubwa. if huna uelewa na hauko tayari kujifunza then nakushauri please usijiingize kwenye cryptocurrencies please wekeza tu UTT.