Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,598
- 8,720
Ni kweli faida ya UTT ni wastani wa asilimia 12. Na mkopo wa mshahara Kwa mfano ni asilimia 17.Mmmh japo sio mtaalamu wa maswala ya fedha ila mbona kama riba ya mkopo itazidi faida ya UTT
Hiyo 99M unaipataje?
Shida inakuja je bank watampa hiyo miaka 7?Riba ya mkopo wa Benki ni asilimia 16-17 kwa mwaka..
Riba ya uwekezaji UTT ni asilimia 12 kwa mwaka..
Itahitaji miaka 5-7 kumaliza mkopo na kuanza kuona faida
Bank gani inakopesha hiyo milion 50 kwa marejesho ya moaka 10?Ni kweli faida ya UTT ni wastani wa asilimia 12. Na mkopo wa mshahara Kwa mfano ni asilimia 17.
Ikiwa utakopa mkopo wa mshahara say wa miaka 10 na kuweka pesa zote utt na ku-reinvest zile riba za utt mpaka mkopo wa benki unaisha utakua umepata faida.
Kwa mkopo wa 50M, utapata jumla ya 155M from Utt.
Ila huyu mleta mada huenda ana hoja.Riba ya mkopo wa Benki ni asilimia 16-17 kwa mwaka..
Riba ya uwekezaji UTT ni asilimia 12 kwa mwaka..
Itahitaji miaka 5-7 kumaliza mkopo na kuanza kuona faida
Kama hiyo 200K ni kwa mwezi.uwekezaji wa 200k kwa miaka 15
Nimeongelea mkopo wa mshahara. Mimi naweza kopa mpaka milioni 69 Kwa miaka 10.Bank gani inakopesha hiyo milion 50 kwa marejesho ya moaka 10?
Wala sio pesa za Bure. Ni investment umefanya. Na investment inalipa kidogo but handsomely ukiipa long term mfano miaka 10 na kuendeleaChukua mkopo ufanye biashara
Hakuna pesa za bure.
Akiweka laki mbili Kila mwezi Kwa miaka 15 atapata jumla ya 102M.Ukiweka utt 50m
Kwa mwezi utapata faida ya 500k
Kwa mwaka ni 6m
Je marejesho ambayo utakuwa unarudisha kwenye huo mkopo utatoa wapi???
Na kama utakuwa unakatwa kwenye mshahara then what?
Ushauri wangu weka kila mwezi laki mbili kwa miaka 15 utapata si chini ya 55m
Kuwa makini mkuu, au piga hesabu tena kabla hujafanyaNimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza
Nna uhakika 100% umeyasema haya ukiwa hujui kitu chochote kuhusu UTTUTT ni zao la vanilla, Dec shaur yako
15Ukiweka utt 50m
Kwa mwezi utapata faida ya 500k
Kwa mwaka ni 6m
Je marejesho ambayo utakuwa unarudisha kwenye huo mkopo utatoa wapi???
Na kama utakuwa unakatwa kwenye mshahara then what?
Ushauri wangu weka kila mwezi laki mbili kwa miaka 15 utapata si chini ya 55m
Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k,
Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k
Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa siku niwe na mil 50 zangu UTT na deni nimemaliza