Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

Kwani shida ni nn mpaka utumie hzo makitu?
 
Kutumia viagra za dukani hkikisha hauna tatizo lolote la kiafya linalohusiana na mzunguko wa damu kama vile blood pressure etc.

Kama uliwahi kua na tatizo hilo au pengine unalo na hujui basi usijaribu kabisa maana utafia gest house na utaleta fedheha kwa familia yako.


Kama unawasiwasi na show zako nakushauri tafuta hivi vitu:

Maziwa fresh (angalau glass moja)
Tende ( tunazokula wakati wa mfungo wa Ramadhan)
Asali (yoyote ile nyuki wadogo au wakubwa).

Cha kufanya:

Tende zako zitoe mbegu, unaweza kuhitaji kuanzia tende 20 (kuboresha matokeo yako).

Baada ya hapo, tia maziwa kwenye blenda, tia tende zako zisizo na mbegu, tia vijiko vya asali kuanzia vitatu.

Washa blenda yako ivisage vizuri mpaka viwe juice kabisa.

Baada kukamilisha juice yako tia kwenye kikombe/glass then kunywa kabla ya 1 hour kwenda kwenye show.

Kwa siku hiyo kumbuka kunywa maji ya kutosha kuanzia asubuhi.

Piga show mkuu.
Usisahau kuleta mrejesho.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.

Kama huwezi kupata hiyo juice hapo juu na umejihakikishia huna tatizo la kiafya basi nenda pharmacy nunua dawa inaitwa Erecto.
Nakushauri ununue kidonge kimoja cha mg 50 tu, meza nusu saa kabla ya mechi then kutana na mpinzani wako.

Usinunue kidonge cha mg 100.

Hii imekaa vizuri [emoji848][emoji2]
 
Piga show mkuu,,,ukishindwaa niitee nkusaidieee

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Piga show mkuu,,,ukishindwaa niitee nkusaidieee

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Tumia tu bro usiwe na wasi wasi, maana hata usipotupa mrejesho huwa tunapata kila tu kwenye vyombo vya habari.

"A voice of one calling in the wildernes"
 
Km unataka kufia guest..kanywe viagra...
Hiyo ni prescription drug...
Sasa km unataka kupata fedheha wewe na familia nenda kanywe...
Kwani ukipiga gemu bila viagra haliendi??
 
Hahahaha wewe utakuwa team kuchelewa kumwaga bao la kwanza ,yaani unalitafuta wapi halitoki ila ukitwanga nyeto hapo hapo unakojoa
 
Aisee habarini, wadau nina ahadi ya kukutana na mdogo wa rafiki ya mke wangu nikampige gemu Ijumaa ijayo. Sasa nataka nikapige gemu la ukweli na kuachana nae mazima.

Sasa juzi nimekaa nikasema nijaribu viagra ili performance ipande nimle kweli kweli japo sina tatizo lolote la kuamsha dude ni mzima 100 asilimia.

Nimejaribu kucheki internet nikaona kama inaweza kuwa na makomplication na ma side effect kibao pia wameandika sijui mpaka daktari akuandikie .

Sasa je nauliza nikienda famasi siwezi kupata na kununua tu kama tunavonunua panado kiulaini??

Pia kama nikila nitarajie nini ?nisije nikala dude likawa halishuki nitashindwa kwenda kazini.

Huyo mtoto ni mzuri anasoma chuo, ashakula pesa zangu nyingi zaidi ya laki 7. Sasa nataka nimlie viagra
Hakikisha hauna bp, na pia usitumie pombe. Hakikisha siku hiyo umekula vizuri, na hauna stress sbb viagra huongeza mapigo ya moyo.
Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom