inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,575
siku hizi wanachanganya na binzari,tatizo mbuyu twite hayupo yanga ungepata original,akina yondani walikua wanafanya mazoezi huku wamefunga vumbi la mkongo,unategemea utamtoa mwarabu!!Mbona vijana wengi town wanauza! Pita mitaa ya kkoo utapata hiyo makitu