Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

Km unataka kufia guest..kanywe viagra...
Hiyo ni prescription drug...
Sasa km unataka kupata fedheha wewe na familia nenda kanywe...
Kwani ukipiga gemu bila viagra haliendi??
Ha ha ha ha
Siyo kweli mkuu. Wanaofia guest house ni wale wenyew matatizo ya kiafya na walevi.
Hiv vitu km una bp usiguse tena km unakunywa pombe acha siku hiyo kifup usiguse.
Ukinywa pombe siku hiyo au unabp kuchomoka mzima ni mara chache sana
 
Tumia tu bro usiwe na wasi wasi, maana hata usipotupa mrejesho huwa tunapata kila tu kwenye vyombo vya habari.

"A voice of one calling in the wildernes"
Hii kitu unatakiwa uwe una roho ngumu aiseee.
Kiufup hautaki kunywa pombe au uwe na bp sbb unapokunywa mapigo ya moyo huongezeka 2 ya mapigo yako ni sawa na mtu anayekimbia.
Ukikimbia halafu ukisimama, hayo mapigo yanayopiga ni sawa na mtu aliyekunywa super shaft au viagra.
Hii kitu ni hatari usithubutu km una afya lege lege
 
Kutumia viagra za dukani hkikisha hauna tatizo lolote la kiafya linalohusiana na mzunguko wa damu kama vile blood pressure etc.

Kama uliwahi kua na tatizo hilo au pengine unalo na hujui basi usijaribu kabisa maana utafia gest house na utaleta fedheha kwa familia yako.

Kama unawasiwasi na show zako nakushauri tafuta hivi vitu:

Maziwa fresh (angalau glass moja)
Tende ( tunazokula wakati wa mfungo wa Ramadhan)
Asali (yoyote ile nyuki wadogo au wakubwa).

Cha kufanya:

Tende zako zitoe mbegu, unaweza kuhitaji kuanzia tende 20 (kuboresha matokeo yako).

Baada ya hapo, tia maziwa kwenye blenda, tia tende zako zisizo na mbegu, tia vijiko vya asali kuanzia vitatu.

Washa blenda yako ivisage vizuri mpaka viwe juice kabisa.

Baada kukamilisha juice yako tia kwenye kikombe/glass then kunywa kabla ya 1 hour kwenda kwenye show.

Kwa siku hiyo kumbuka kunywa maji ya kutosha kuanzia asubuhi.

Piga show mkuu.
Usisahau kuleta mrejesho.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.

Kama huwezi kupata hiyo juice hapo juu na umejihakikishia huna tatizo la kiafya basi nenda pharmacy nunua dawa inaitwa Erecto.
Nakushauri ununue kidonge kimoja cha mg 50 tu, meza nusu saa kabla ya mechi then kutana na mpinzani wako.

Usinunue kidonge cha mg 100.
Erecto yenyewe haina effect kubwa? Maana na mm nataka nikatafute kadonge ka 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee nyie wanaume wa JF Ni hatari
Ina Maana hamuwezi kumshauri aache uasheratiiiiiiiii??
Eti.mnampa ushauri wa Bure???
Aiseeeeee!!!!!
Baadaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kunywa tu mkuu...tena kila cha 150mg ndo kitafaa zaidi.
 
viagra iko poa sema nini kwann usitume natural remedies huwa zinasaidia sana kwa mfano tangawiz unaitwangwa then unachemsha kabla ya show time unapiga vikombe viwili ukimaliza kipindi cha kwanza unapiga tena kikombe hivyo
 
Back
Top Bottom