Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

Nataka nijaribu viagra, ni hatari au?

Mkuu umemshauri jamaa Poa sana, Sasa na mie ntumie kaswali apo apo ikiwa uko Maji tayari (Kulewa) na ukatupia ivo vidonge niaje?
Dawa nyingi ukichanganya na pombe (kilevi) hua zinaleta shida unaweza kufa, ni vema usinywe vidonge ukinywa pombe.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Andika wosia kabisa maana unajipiga nusu kifo mwenyewe.

Kila la Heri.
 
Aisee habarini, wadau nina ahadi ya kukutana na mdogo wa rafiki ya mke wangu nikampige gemu Ijumaa ijayo. Sasa nataka nikapige gemu la ukweli na kuachana nae mazima.

Sasa juzi nimekaa nikasema nijaribu viagra ili performance ipande nimle kweli kweli japo sina tatizo lolote la kuamsha dude ni mzima 100 asilimia.

Nimejaribu kucheki internet nikaona kama inaweza kuwa na makomplication na ma side effect kibao pia wameandika sijui mpaka daktari akuandikie .

Sasa je nauliza nikienda famasi siwezi kupata na kununua tu kama tunavonunua panado kiulaini??

Pia kama nikila nitarajie nini ?nisije nikala dude likawa halishuki nitashindwa kwenda kazini.

Huyo mtoto ni mzuri anasoma chuo, ashakula pesa zangu nyingi zaidi ya laki 7. Sasa nataka nimlie viagra
Kubali tu kuwa jioni inakaribia na umekula vya kutosha then utulie na mkeo mmalize naye uzee kwa amani na baraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee habarini, wadau nina ahadi ya kukutana na mdogo wa rafiki ya mke wangu nikampige gemu Ijumaa ijayo. Sasa nataka nikapige gemu la ukweli na kuachana nae mazima.

Sasa juzi nimekaa nikasema nijaribu viagra ili performance ipande nimle kweli kweli japo sina tatizo lolote la kuamsha dude ni mzima 100 asilimia.

Nimejaribu kucheki internet nikaona kama inaweza kuwa na makomplication na ma side effect kibao pia wameandika sijui mpaka daktari akuandikie .

Sasa je nauliza nikienda famasi siwezi kupata na kununua tu kama tunavonunua panado kiulaini??

Pia kama nikila nitarajie nini ?nisije nikala dude likawa halishuki nitashindwa kwenda kazini.

Huyo mtoto ni mzuri anasoma chuo, ashakula pesa zangu nyingi zaidi ya laki 7. Sasa nataka nimlie viagra
Tafta vumbi lakongo mkuu .mm nilikuwaga nalisikia nikawanadharau sasa majuzi nilikuwanamechi namremboflani hivi ...nikaenda kwamshikaji akanipa nimepiga kwaanzia SAA 11 jioni mpaka SAA 3 siku sijakojoa .ila nilikuwa napiga nakupumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka plan B(akija na akikwambia yuko on hot to conceive)

Otherwise:Tenga kias kingine cha kulea mimba&mtoto
UJE KULETA MREJESHO JF[emoji23]

Stop NOT,fear NOT-Grab yo destiny
 
kunywa tui LA Nazi lenye mchanganyiko wa maji ya nazi[Nazi 4 kwa Siku] nadhani matokeo utayapata .
Nakutakia kila LA kheri katika mpambano
 
Ni Hatari sana kutumia madawa ya kuongeza nguvu viagra + erecto unaweza ukazima kifuani.......kama nguvu huna ya nini kutafuta Demu kumkomoa? Wahenga walisema "Jino moja mswaki wa nini"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom