elixer of life
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 626
50-100 mg dose of sildenafilKula ya kutosha kabisa upige game fresh
Dozi: sildenafil 500mg PO TDS 5/7
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
50-100 mg dose of sildenafilKula ya kutosha kabisa upige game fresh
Dozi: sildenafil 500mg PO TDS 5/7
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
unataka kuu mtu nini jamaaKula ya kutosha kabisa upige game fresh
Dozi: sildenafil 500mg PO TDS 5/7
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Huwezi kuzuia maji ya gharika kwa beseni, huyo ni mtu mzima kama mahubiri ya kanisani kwake hajayafuata au mawaidha ya msikitini hayajamuingia hapa jf tuna nguvu gani ya kumfanya asiende kuchepuka?Aiseee nyie wanaume wa JF Ni hatari
Ina Maana hamuwezi kumshauri aache uasheratiiiiiiiii??
Eti.mnampa ushauri wa Bure???
Aiseeeeee!!!!!
Baadaye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila dawa ina effect (side effects), kikubwa jihakikishie kwamba huna tatizo la kiafya kama vile pressure maana unaweza kufia gest house, haya madawa hayafai mkuu.Erecto yenyewe haina effect kubwa? Maana na mm nataka nikatafute kadonge ka 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Eh! Mdau hii ni kazi ya siku 1 au? Je, ukila huo mchanganyo na usiwe na game kuna shida (side effects) zozote? Yani ukifanya huu mchanganyo kuwa sehemu ya mlo wako wa kila siku kuna madhara yoyote?Kutumia viagra za dukani hakikisha hauna tatizo lolote la kiafya linalohusiana na mzunguko wa damu kama vile blood pressure etc.
Kama uliwahi kua na tatizo hilo au pengine unalo na hujui basi usijaribu kabisa maana utafia gest house na utaleta fedheha kwa familia yako.
Kama unawasiwasi na show zako nakushauri tafuta hivi vitu:
Maziwa fresh (angalau glass moja)
Tende ( tunazokula wakati wa mfungo wa Ramadhan)
Asali (yoyote ile nyuki wadogo au wakubwa).
Cha kufanya:
Tende zako zitoe mbegu, unaweza kuhitaji kuanzia tende 20 (kuboresha matokeo yako).
Baada ya hapo, tia maziwa kwenye blenda, tia tende zako zisizo na mbegu, tia vijiko vya asali kuanzia vitatu.
Washa blenda yako ivisage vizuri mpaka viwe juice kabisa.
Baada kukamilisha juice yako tia kwenye kikombe/glass then kunywa kabla ya 1 hour kwenda kwenye show.
Kwa siku hiyo kumbuka kunywa maji ya kutosha kuanzia asubuhi.
Piga show mkuu.
Usisahau kuleta mrejesho.
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Kama huwezi kupata hiyo juice hapo juu na umejihakikishia huna tatizo la kiafya basi nenda pharmacy nunua dawa inaitwa Erecto.
Nakushauri ununue kidonge kimoja cha mg 50 tu, meza nusu saa kabla ya mechi then kutana na mpinzani wako.
Usinunue kidonge cha mg 100.
Mh! Wamasai wa siku hizi full sanaa. Ukishamuulizia hiyo mambo atakufanya mtaji atakuletea mizizi mingine isiyokua sumu ili mradi tu aendelee kula hela yakoMkuu jnamfahamu jogoo (kuku)?
Show yake haizidi hata sekunde arobaini lakini anatoa vifaranga hata zaidi ya 15
Lakini wewe hapo sasa unataka viagra ili upige show ya kibabe (ZAIDI YA DAKIKA 30~45) alafu mwisho wake unakuja toa katoto KAMOJA TU!!
Hiyo si ni aibu mzee kuzidiwa hadi na jogoo...
Anywayz achana na viagra tumia mzizi mmoja wa kimaasai inaitwa NGORORIIIIII ni zaidi hata ya vumbi la congo (amavubi) alafu uzuri ukitafuna mara moja anaweza piga show hata zaidi ya wiki ndio unatafuna tena.
Tahadhari "UKITAFUNA USIENDELEE KUISHI DAR HAMIA MIKOANI"
Kaz ya erecto mkuu nieleweshe tafadhari.
Viagra ya nini kama kweli mzima mkuu?Aisee habarini, wadau nina ahadi ya kukutana na mdogo wa rafiki ya mke wangu nikampige gemu Ijumaa ijayo. Sasa nataka nikapige gemu la ukweli na kuachana nae mazima.
Sasa juzi nimekaa nikasema nijaribu viagra ili performance ipande nimle kweli kweli japo sina tatizo lolote la kuamsha dude ni mzima 100 asilimia.
Nimejaribu kucheki internet nikaona kama inaweza kuwa na makomplication na ma side effect kibao pia wameandika sijui mpaka daktari akuandikie .
Sasa je nauliza nikienda famasi siwezi kupata na kununua tu kama tunavonunua panado kiulaini??
Pia kama nikila nitarajie nini ?nisije nikala dude likawa halishuki nitashindwa kwenda kazini.
Huyo mtoto ni mzuri anasoma chuo, ashakula pesa zangu nyingi zaidi ya laki 7. Sasa nataka nimlie viagra
Erecto inasababisha election ya mdaa mrefuu unacheza mechi bila goli kwa mda lakn ubaya wake ukiizoea unakuwa addict kwahyo inabd iwe ni siku moja moja unaitumia ukiwa na show za kibabe kama hizoKaz ya erecto mkuu nieleweshe tafadhari.
Erecto inasababisha erection ya mdaa mrefuu unacheza mechi bila goli kwa mda lakn ubaya wake ukiizoea unakuwa addict kwahyo inabd iwe ni siku moja moja unaitumia ukiwa na show za kibabe kama hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
MPE hilo ndo kiboko mm nimelitest linatisha.Viagra haina cha maana mkuu,wewe wasiliana na mimi nikupe vumbi la kongo!!
Wewe ulitakaje