Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Majini yanapo jiita nasi ni wingi wa nini?

Koran surah ya majini
5:Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu
8:Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo
10: Nasi hatujui kama wanatakiwa shari.........
 
Ebu weka ushahidi uislam kuanzishwa na ukatoric
 
Kasome maandiko vizuri, kabla hujasoma Bible hakikisha una uwezo wa kumsikia Roho Mtakatifu na umekuwa tayari kufundishika anapokufundisha usisome Bible kwa utashi wako wa kibinadamu utapotea.
Mzee wa siku sio papa, MUNGU anaitwa Mzee wa siku, soma Daniel Kwa kutulia ni kitabu kilicho fungwa hicho, kimewekwa muhuri
 
Rafiki ukileta Uzi usiwe na hasira. Umeleta Ili tusome, na wachangiaji Kila mtu ana akili yake.
Ukiwa na hasira utaambulia kuumia na watu huwajui hata sura, relax ujifunze na tujifunze, hakuna anayejua Kila kitu, sio lazima ujibu Kila kitu
BABAAKO NDIO ANALOPOKA.
 
Mwandishi wa maandiko na mafundisho mengi yanayohusu kanisa la waadventista wasabato ni mwanamama anaeitwa " ELLEN GOULD WHITE" na ndiye mwanzilishi wa kanisa hilo. Sasa ukijumlisha herufi za majina hayo utapata 666. Huyo ndo MNYAMA
 
Aache kupotosha watu . Yohana hakuandika kwa Kilatini. Arudi chuoni akasome church history asilete hadithi za kuambiwa hapa
Hakika. Sehemu karibu YOTE ya biblia iliandikwa kiebrania kile cha zamani. Hao Warumi walihodhi hilo kwa faida zao binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…