yawezekana ukawa msomi mzuri tu, ila ulichoandika binafs cjakielewa, ungekuwa smart na umefafanua kwa kina ningeku link na ofc moja arusha wanajitaji assistant Hr.Poleni na majukumu ndugu zangu
Nilikuwa naombeni connection ya kazi.
Nina Degree ya Sheria pia nimefanya kwenye maswala ya HR pia ni knowledge ya kufanya kma HR hata nafasi ya kujitolea. Nipo DAR.
Natanguliza shukranI.
Bw. Mdogo kama umeiva, Tafuta loophole ya kosa lolote ifungulie Serikali/ Taasisi kesi kibao za ukiukwaji wa Sheria, endesha hizo hizo shinda kesi kadhaa, itisha press conference eleza kazi uliyofanya kwa ufasaha.Poleni na majukumu ndugu zangu
Nilikuwa naombeni connection ya kazi.
Nina Degree ya Sheria pia nimefanya kwenye maswala ya HR pia ni knowledge ya kufanya kma HR hata nafasi ya kujitolea. Nipo DAR.
Natanguliza shukranI.
Nimeafanya maswala ya hr. , pia ni knowledge ya kufanya kama hr, mara ata kwa kujitolea nn maana ya muunganiko wa hizo sentence?ni kitu gani hapo sasa ambacho hujaelewa? 😂😂
Hutaki kuwa TA..!?Poleni na majukumu ndugu zangu
Nilikuwa naombeni connection ya kazi.
Nina Degree ya Sheria pia nimefanya kwenye maswala ya HR pia ni knowledge ya kufanya kma HR hata nafasi ya kujitolea. Nipo DAR.
Natanguliza shukranI.
Akipigwa cost kwenye izo case uta mlipia wewe.uyu sio wakili ni mwanasheria hao ni watu wawili tofauti mmoja ni wakili na mwanasheria na mwingine ni mwanasheria tu .uyu dogo hawezi kuendesha caseBw. Mdogo kama umeiva, Tafuta loophole ya kosa lolote ifungulie Serikali/ Taasisi kesi kibao za ukiukwaji wa Sheria, endesha hizo hizo shinda kesi kadhaa, itisha press conference eleza kazi uliyofanya kwa ufasaha.
Kesho yake utaitwa kazi kibao tu kwenye Law Chambers na Mashirika na mkataba mnono mezani.
Anyway, nakutania Bw. Mdogo nakutakia kila lakheri kwenye kutafuta ajira.
Soma post Na. 7 ameeleza kuwa tayari kapita Shule ya Sheria kwa hiyo ana mhuri tayari.Akipigwa cost kwenye izo case uta mlipia wewe.uyu sio wakili ni mwanasheria hao ni watu wawili tofauti mmoja ni wakili na mwanasheria na mwingine ni mwanasheria tu .uyu dogo hawezi kuendesha case