Nataka nifanye kazi ya kusajili laini

Mi nafanya hii kaz nikichanganya na M-pesa na tigo Pesa.
Ebwana huku ni kuzur asikudanganye mtu nalaza wastan wa 14000 daily. Mwisho wa mwez commission ya 60000

Yaan
14000 * 30 = 420000
Commission =60000
Jumla/mwe 480,000

Hiyo ni usajili wa line tu bado COMMISSION ya mpesa. Karibu sana huku ni zaid ya ajira.
Kumbuka: hizo ni gharama baada ya kutoa chakula cha mchana.
MKUU Pawaga

NINA UHITAJI WA LINE YA TIGO YA KUUZIA VOCHA NA VIFURUSHI
WAWEZA KUNISAIDIA MWONGOZO WA KUIPATA?
 
Anaetaka laini ya wakala mtandao wowte ule nitafte na pia Anaetaka laini nzuri yaani Spesho namba pia Anaetaka laini yake ya Tigo iwe ya chuo pia Nabadilisha Dk2 inakuwa Tayar nitafte kwa namba hii 0659202222 Au Tuma Sms nitakujibu
 
*TANGAZO KWA HISANI YA HALOTEL*


*KWA WALE WANAOHITAJI KUWA MAWAKALA WA HALOTEL YAANI KUTENGENEZEWA CODE YA USAJILI NA KUWA WAKALA WA KUSAJILI LAINI ZOTE HALOTEL *(za kawaida, za chuo na za Royal )NA KUJIINGIZIA KIPATO MNAKARIBISHWA*

*Huduma hii ni kwa watu waliopo Moshi ila kama upo mbali na upo tayari utasaidiwa*


*NB*: *HUDUMA HII INATOLEWA BUREEEEEE KABISA*


KWA MAELEZO ZAIDI ILI KUPATA HUDUMA WASILIANA(Masaaa 24)

*Mtokoma* Halotel Team Leader-Moshi
Sms/call. 0620733286
Whatsap/call/sms 0621895895

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kaka
Hili ni tatizo la Watu wengi na nisha wahi kusema kinacho sababisha vijana hasa Graduate wasijiajiri ni Aibu.

Yaani mtu anaona kuliko hata auze maji stend bora ake nyumbani.

Kuna aibu zifuatazo.

- Aibu kwamba rafiki zangu watanioanaje
- Ndugu wa karibu
-Graduate wenzangu
- Baba mkwe/mama mkwe
- Mke/mme/ mchumba/demu

Mimi huwa nasema hii dunia niko pekeee nimezaliwa pekee na siku nikifa najuga peke na sitazikwa na mtu ndani ya kaburi bali nitakua peke yangu kwenye jeneza.

Siwezi acha kufanya jambo kwa sababi ya kumuogop fulani.

Usione watu wako na tai ofisini wanalipwa pesa za ajabu sana.

We piga kazi Duniani uko peke yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom