Nataka nianze kula mjani

Tumia bila ku recommend kwa mtu yeyote na yeye atumie just tuu wewe inakukubali,guys Kuna watu wanawehuka kwa ajili ya bangi,wengine wanakua na uteja kabisa wa bangi..not to mention bado ni illegal kwenye nchi yetu.
 
One of us... Kwa kuongezea tu utamu wa dry jani liwe zuri haswaa na ubaya wake kuzimazima na kupaliwa mixer haizimizimi na haupaliwi... Tatizo kubwa la bangi ni kusahausahau kuna wakati inakufanya usahau vitu vidogo vidogo mfano funguo umeiweka wapi nk... Bangi inafikirisha sana inaongeza ujasiri na hali ya kujiamini... Bangi inaleta njaa kinyama jiandae kuwa mtu wa kula hovyo... Akianza kuvuta ajiandae kutengwa na baadhi ya watu lakini pia kumbukuka kwa sheria za nchi yetu Bangi ni aina moja wapo za madawa ya kulevya
 
We kula tu baba. Yatokanayo utayakuta hukohuko mbele ya safari.
 
Hakikisha unapata good weed, usije vutishwa matakataka ukawehuka.
N.B, Mjani sio mzuri kwa kila mtu
Hapa ndio penye ukweli, wenzetu akina Elon Musk, Kenyatta, nk kuna sehemu ya mche wanavuta( nitaweka picha hapa) sisi mche mzima kuanzia shina, matawi kasoro mizizi wanakatakata ili wakamilishe mzigo na hela za kuwahonga akina Mulilo!

Huu mti ni wa ajabu sana kila sehemu yake ina ingredients tofauti!...Ushauri wangu mwambie pusha akuchagulie majani yaliyopo karibu na maua!
 
Nikikumbuka nilivyopata tabu kuacha punyeto, basi hizi habari za kuanza kufanya vitu vinavyokatazwa hazinishawishi kabisa.... By my side nakushauri ewe mwenye mpango wa kutaka kuanza kutumia hio ki2 tafadhali usijaribu.
Kuacha chaputa ni msala aisee, watu wanateseka na hiyo kitu na kuiacha ni issue
 
Bugia tu.Utaona kama unakula chipsi kuku.Kula gugu hadi uitike ..."rabeka"...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…