Nataka nianze kula mjani

Katika watu 10 inawakubali watatu..7 wote wanawehuka(wanakua vichaa)
Ufafanuzi please .. unakua kichaa immediately baada ya kutest for the first time au baada ya kuendelea kutumia ? ..
 
Mjani ni kipimo cha uchizi.

Kuna binadamu wana uchizi ndani yao na wengine hawana so ili uweze kutambua kama una uchizi au hauna unatakiwa upige mjani.

Ahsanteni.
Hahah, aisee hii jani linalindwa sana.

Kuna wadau wanakwambia jani ni diet, linakondesha na kunenepesha pia ni wewe tu chague likufanyeje.
 
Na rasta fuga kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…