Nataka nianze kula mjani

Bangi inachekesha ndugu yangu ukipaliwa bangi unaweza kucheka mpaka ukalia just imagine unaweza kucheka lisaa lizima kwa sababu tu umepaliwa moshi
hizo si dalili za kuweuka hizo ..
 
Mbona majani yenyewe wanachakachua me ndo maana niliacha kutumia lakini nikijua yalipo genuine nitaanza tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…