Hujabakisha kitu Mkuu.👍👍👍Yaani unataka kuwa mvuta bangi!
Elimu ya saikolojia inasema'ivii?
Ukiona mtu yeyote kwenye hadhara kaanza kuulizia tija ya jambo fulani, mara nyingi ingawa si mara zote, mtu huyo jambo hilo huwa keshalifanya, ana uzoefu nalo na analipenda.
Ukiona mtu anamponda ama kumsifia mtu wa jinsia tofauti na yeye, elewa mtu huyo anampenda sana mtu huyo na anatamani sana kuwa kwenye mahusiano naye.
Ukiona mtu analaani sana tabia fulani, mfano wizi, uzinzi nk nk, elewa mtu huyo ana tabia hizo kisilka, huzifanya kwa njia nyingine ama atakuja kuzifanya.
Kwa muktadha huu, wewe ni mvuta bhangi mzuri tu,ila lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuelewa vipimo vya kiwango cha madawa ya kulevya mwilini kwa mtumiaji, huonekana pindi akipimwa hasa wakati akisafiri kwenda nchi za ughaibuni!
Lakini uelewe kwamba, bhangi zako hizo zinakupatia mzuka wa muda tu na mara nyingi mzuka wa bhangi ni marue rue yasiyo na uhalisia yanayoleta upumbafu.
Omba Mungu akuue ukiwa kijana kabla haujazeeka.
Maana kuufikia uzee ukiwa mvuta bhangi ni bahati, kutokana na madhara mengi sana yatokanayo.
Hata ukabahatika kuzeeka, utakuwa ni mzee asiyekuwa na manufaa yoyote katika jamii inayomzunguka, yaani mzee fala asiye na ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio maana watu wanasema hayo manyimbo ni ya kipepo,now I see why.Welcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea
Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtukiwa
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu
Tamu Sana feeling alright hasa ukiwa UnaKula ngoma za hip-hop kina Roma,nikki,ghetto,kad go,ngwair,na wengineo wengi
View attachment 1887668
1.Amini kuwa punyeto ni kinyume na mapenzi ya Mungu, Mungu anataka hizo shahawa zifanye kazi ya uumbaji (kutungisha mimba), usimwage nje na wala kwenye kondomu. Hivyo kama punyeto ni kinyume na mapenzi ya ,Mungu basi Punyeto ni Dhambi, Je Unafurahi au unapenda kutenda Dhambi??Nyeto umeachaje?
KUJIAMINI HALISI KWAPATIKANA KWA NJIA YA KUMJUA NA KUMTUMAINI MUNGU, Na sio kumoka.Niaje wakuu ..
Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.
Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..
Karibuni ..
Hakika watu wengi wanavuta bangi lakin sio wavuta bangi au kuna mtu anapinga?Ijue tofauti kati ya kuvuta bangi na kuwa mvuta bangi ni sawa na utofauti kati ya kunywa pombe na kuwa mlevi ..
Si wote Mkuu hiyo ni tabia ya binafsi ya mtu, chakujua ni kuwa bangi haileweshi inakufanya u relax tu kwa hiyo haibadili motion ya mtu.Hivi kwanin wavuta bangi wanatembea kwa kuruka
They will never understand the vibesMm kila nikiamka alfajiri napiga stiki moja then naoga maji baridi huku najiandaa kwenda job. Ganja raha sana ila usipende kushinda maskani gogo zembe. Chukua mzigo ukague kama og then vuta kwako taratibuu kwenye garden yako nyumbani, usimeze mimoshi kama warugaruga. Ukimaliza oga swaki alafu shushia na dompo wine glass moja huku unasoma kitabu cha novel. Yani ni raha kuliko kupewa mabikira 70 watakuchosha tu
We jamaa fala sana... embu fanya research vizuri za watumia bangi... we ushazoea wavuta bangi wa vijiweni wasio na kzlazi maalum.... go deeperYaani unataka kuwa mvuta bangi!
Elimu ya saikolojia inasema'ivii?
Ukiona mtu yeyote kwenye hadhara kaanza kuulizia tija ya jambo fulani, mara nyingi ingawa si mara zote, mtu huyo jambo hilo huwa keshalifanya, ana uzoefu nalo na analipenda.
Ukiona mtu anamponda ama kumsifia mtu wa jinsia tofauti na yeye, elewa mtu huyo anampenda sana mtu huyo na anatamani sana kuwa kwenye mahusiano naye.
Ukiona mtu analaani sana tabia fulani, mfano wizi, uzinzi nk nk, elewa mtu huyo ana tabia hizo kisilka, huzifanya kwa njia nyingine ama atakuja kuzifanya.
Kwa muktadha huu, wewe ni mvuta bhangi mzuri tu,ila lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuelewa vipimo vya kiwango cha madawa ya kulevya mwilini kwa mtumiaji, huonekana pindi akipimwa hasa wakati akisafiri kwenda nchi za ughaibuni!
Lakini uelewe kwamba, bhangi zako hizo zinakupatia mzuka wa muda tu na mara nyingi mzuka wa bhangi ni marue rue yasiyo na uhalisia yanayoleta upumbafu.
Omba Mungu akuue ukiwa kijana kabla haujazeeka.
Maana kuufikia uzee ukiwa mvuta bhangi ni bahati, kutokana na madhara mengi sana yatokanayo.
Hata ukabahatika kuzeeka, utakuwa ni mzee asiyekuwa na manufaa yoyote katika jamii inayomzunguka, yaani mzee fala asiye na ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa kula dawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachohitaji mimi ni kujiamini tu .. sitaki uoga ..
Yaani ni 'go deeper' kuchunguza wavuta bhangi mie!We jamaa fala sana... embu fanya research vizuri za watumia bangi... we ushazoea wavuta bangi wa vijiweni wasio na kzlazi maalum.... go deeper
Mi nakunywa kabisa mjomba... izo imani zenu bana... af pysychologist ndo mnaongoza kuwa fucked up sometimeYaani ni 'go deeper' kuchunguza wavuta bhangi mie!
Nishachunguza ikatosha, upo huru na maisha yako,kuvuta utakavyo baba, zingine tafuna kabisa mkuu na usiwe na wasi wasi wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha nimekujua kwenu karibu na dv8Welcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea
Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtukiwa
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu
Tamu Sana feeling alright hasa ukiwa UnaKula ngoma za hip-hop kina Roma,nikki,ghetto,kad go,ngwair,na wengineo wengi
View attachment 1887668
Kweli jamaa anahitaji kufanya research zaidi, asiishie tu kwa wale wakaa vijiweni wakilipuliza, kuna watu wana maisha yao na wanakula mjani kama starehe tu na huwezi kuwajua ..We jamaa fala sana... embu fanya research vizuri za watumia bangi... we ushazoea wavuta bangi wa vijiweni wasio na kzlazi maalum.... go deeper
Si kila mvuta bangi anakaa kijiweni au jobless wapo watu wengi tu wenye maisha yao na wanakula mjani for leisure mkuu ..Yaani ni 'go deeper' kuchunguza wavuta bhangi mie!
Nishachunguza ikatosha, upo huru na maisha yako,kuvuta utakavyo baba, zingine tafuna kabisa mkuu na usiwe na wasi wasi wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakremisha mavitabu yake huko anakuja kujifanya mtaalamuKweli jamaa anahitaji kufanya research zaidi, asiishie tu kwa wale wakaa vijiweni wakilipuliza, kuna watu wana maisha yao na wanakula mjani kama starehe tu na huwezi kuwajua ..