Nataka nianze kula mjani

Kabisa pure yenyewe ni gharama hizi dawa za jero na buku buku ndo wanachanganya na kila kitu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni kweli kabisa yani ukishakula skanka ule uchafu wa arusha hausikii stim yoyote
 
Mnapotoshana tu..bangi itakufanya ufanye maasi..huwezi boost cha confidence wala nini zaidi utaongeza nguvu ka kukupelekea ufanye ngono…sijawahi onaga manufaa yake mbali na kuitumia siku nikitaka nifanye starehe..ila amna kigeni kwenye bangi.ni kama sigara tu,au labda mimi imenikataa au kichwa changu kizito..nnachokitftaga kwenye G ata sikipatagi..
 
m maaammae utaokota makopo, usizanie kila kichwa kinahimili mjani, wachana kabisa na hiyo kitu msengerema mmoja weeee.
 
Kipi hicho unacho kitafutaga hukipati ?? ..
 
Mkuu Enzi Fulani nilivuta hii kitu ila cha ajabu sikuona matokeo yoyote hasi wala chanya.
Sijui nilikosea wapi.
 
Inaelekea kichwa chako kipo stable sana mkuu ..
Dah! sielewi mkuu manake sikuona kama level za kujiamin zimeongezeka wala kupata matokeo hasi kinyume na matarajio.
Ila cha kushangaza kampani tuliokuwa tunapiga hayo mavitu wengi wao sasa wamepoteza kabisa muelekeo wa Maisha ndo maana siwezi kushauri mtu afuate hiyo njia labda aamue mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…