Nataka nianze kubeti

Nataka nianze kubeti

Wakuu Habari za Uzima,

Baada ya kutafuta kazi na kukosa, na Zingine nikipata wananikataa Wakishajua nina Usikivu Hafifu "Hearing Loss " Basi Nimeamua Kuingia kwenye BETTING, Kuna Hela nimepata hapa Elfu10 ndo nataka nianze Nayo, Niwe Natafuta Odds 3 za Uhakika Hata mara 3 kwa wiki sio Mbaya... Naombeni Mawazo Yenu Ndugu Zangu.
Hakuna odds 3 za uhakika ni kubahatisha tu
 
Back
Top Bottom