Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,588
- 83,135
Unataka deal gani?Nipe Deal Ndugu Yangu,
Unataka deal gani?Nipe Deal Ndugu Yangu,
kazi yoyote ya Halali Dada Yangu nipo Tayari kufanya.Unataka deal gani?
Mkuu kutokusikia vizuri sio kigezo, ata Mimi Nina holo tatizo na nadeal na ufundi umeme na madishi pamoja na ufungaji wa cctv camera na security alarm,Wakuu Habari za Uzima,
Baada ya kutafuta kazi na kukosa, na Zingine nikipata wananikataa Wakishajua nina Usikivu Hafifu "Hearing Loss " Basi Nimeamua Kuingia kwenye BETTING, Kuna Hela nimepata hapa Elfu10 ndo nataka nianze Nayo, Niwe Natafuta Odds 3 za Uhakika Hata mara 3 kwa wiki sio Mbaya... Naombeni Mawazo Yenu Ndugu Zangu.
Kazi yoyote ndio ikoje? Kutawaza kuku miguu? Kazi ipi sio halali?kazi yoyote ya Halali Dada Yangu nipo Tayari kufanya.
Swali zuri!Ww fani yako Nini mkuu?
Mimi ni Mwalimu wa Primary,Mkuu kutokusikia vizuri sio kigezo, ata Mimi Nina holo tatizo na nadeal na ufundi umeme na madishi pamoja na ufungaji wa cctv camera na security alarm,
Ww fani yako Nini mkuu?
Kuuza Drugs, Ujambazi, Hizo Sio kazi Halali,Kazi yoyote ndio ikoje? Kutawaza kuku miguu? Kazi ipi sio halali?
Pambana upate kazi kwanza Mkuu, naamini siyo sehemu zote watakukataa ikiwa utaonyesha utendaji kazi wa kiwango cha juu.Sasaa Nifanyaje Ndugu, !?
Kwenye uzi wangu wa nafasi za kazi kuna kazi kibao za walimu nenda kapitie!Mimi ni Mwalimu wa Primary,
Sawa lakini hizo si rahisi kuzipata pia!Kuuza Drugs, Ujambazi, Hizo Sio kazi Halali,
Bwashee unawadanganya mdogo kila sikuhujachelewa
Si ndio anaomba kazi hapa mumpe mchongo matajiri!Achana na huo ujjnga , tafuta kazi ya kufanya
Nenda kaandamaneWakuu Habari za Uzima,
Baada ya kutafuta kazi na kukosa, na Zingine nikipata wananikataa Wakishajua nina Usikivu Hafifu "Hearing Loss " Basi Nimeamua Kuingia kwenye BETTING, Kuna Hela nimepata hapa Elfu10 ndo nataka nianze Nayo, Niwe Natafuta Odds 3 za Uhakika Hata mara 3 kwa wiki sio Mbaya... Naombeni Mawazo Yenu Ndugu Zangu.
Huwa natoa michongo ya kazi , ukiifuata lazima upige pesaSi ndio anaomba kazi hapa mumpe mchongo matajiri!
kwa Primary Level ni Masomo Yote, ila kwa Secondary Masomo Ya Arts ila English na History nipo Vizuri Sanaa 😊.Mwalimu wa masomo gani?