Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,734
- 6,637
Huko wanaosemea udakitari walikuwa hawapewi mikono?Toka zaman UDAKTARI upo damuni na mpaka sasa. UALIMU niliingia tu Kwa sababu ya kukimbilia mkopo. Napenda. Huku napata msahara mimi binafsi naridhika nao, lakini bado. Pia nikiwa hospital nikiwaona madokta na nguo zao zile huwa najiona kama nami ningekuwa pale
Mkuu mbona hata u-daktari siku zote kuna mkopo?Au hukulijua hilo?Toka zaman UDAKTARI upo damuni na mpaka sasa. UALIMU niliingia tu Kwa sababu ya kukimbilia mkopo. Napenda. Huku napata msahara mimi binafsi naridhika nao, lakini bado. Pia nikiwa hospital nikiwaona madokta na nguo zao zile huwa najiona kama nami ningekuwa pale
KaribuMimi ni Mwalim wa sekondari nafundisha sayansi. Fom4 nina div.2 nilimaliza mwaka 2005. Advanced level nilosoma PCM ntapata div 2.Chuo nikasoma BSc ed. Nataka nikasomee UDAKTARI, Napenda sana, naombeni ushauri wadau.
huu ni uongo mkuuMwalimu Degree Take Home; 540000/=
Clinical Officer Diploma Take Home: 820000/=
Tafakar Chukua Hatua
Ni lazma afanye kazi miaka miwili ?mkuuNenda chuo binafsi kinachotoa kozi ya CLINICAL MEDICINE omba nafasi ya kujiunga..
Kwanini Uende Chuo Private?
... Ni kwa sababu ukiomba kwa chuo cha government au ukiomba direct kupitia NACTE kupata ni ngumu kwani hauko eligible kwa sababu umemaliza O-Level kitambo sana.
Baada ya Kusoma Clinical Medicine utakua Clinical Officer (Afisa Tabibu)
Kisha utafanya kazi miaka 2, utaomba nafasi ya Kusoma kwa DMO wako then utaenda Chuo kikuu Miaka Mitano na Kusoma Degree ya udaktari wa binaadamu (Doctor of Medicine)
Karibu Mjomba
Punguza uongo[emoji44]Mwalimu Degree Take Home; 540000/=
Clinical Officer Diploma Take Home: 820000/=
Tafakar Chukua Hatua