Nataka niache chuo niombe chuo kingine nifanyeje?

Nataka niache chuo niombe chuo kingine nifanyeje?

OJRKING

New Member
Joined
Feb 27, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Oya wadau naomba kuuliza maswali mawili

1: Kuna course nilikua nasoma, na nimesoma semester moja tu then nikapata matatizo kidogo nime postpone ni mwaka wa pili sasa toka ni postpone nataka niache kusoma ile course, naweza nikafanya nini ili niweze kuomba chuo upya form six wakimaliza?

2: Na kuhusu bodi ya mikopo kwa anayejua naweza nikafuata process gani ili niweze kuomba tena
naombeni majibu kwa mwenye ufahamu.
 
Waone Bright and Genius Editors.
Tangazo 4.JPG
 
Back
Top Bottom