mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,885
- 58,313
Acha tu.kusoma nayo ni fani kama fani nyingine.form 4 arts nilipata C ya kiswahili tu.[emoji1] [emoji1] kipindi hicho nasoma pcb tulikuwa tunairefusha people confused brain. Ila hii combi usipokaa vizuri unaweza kutaga.
kweli mkuu ngoja niingize mguu kwa mara nyingineMkuu umekata tamaa, ukiweka niainawezekana! Inategemea na usomaji wako! Je unasoma kwa discussion au alone??
Mkuu kama una nia ya kuwa dr, unaweza komaa na ukafanikiwa, ila kama unaona huwezi unaweza step down ukarudia form5!!
PCB au kobi yoyote huwezi isoma alone mara zote maana ni rahisi kukata tamaa!! Jitahidi kutumia discussion hasa kwenye topics zinazokusumbua!!
Huyu ni mbovu wa namba. Hisabati haipandi ndio maana kazungusha physics na chem. Hayo uliyomshauri yanaendana na namba. Ataendelea kugeli hata akisoma certificate.Pole sana Mkuu, Naona umetumia muda mwingi kabla ya kuja na hayo mawazo.
Sijui nikushaurije! Ungekuwa ndo unaanza ningekwambia ujaribu Comb ya CBG.
AU Fanya hivi, Omba Diploma za Afya (CO,PHARM,RADIOLOGY au LAB)
Ukipata ndo uanze kufikiria.
Shida yako ni HISABATI aka NAMBA. Tafuta tuisheni ya hisabati utaiona physics very simple.Yaah najua kukariri sana ila nashangaa chem imekuwa complicate sana kwangu physics ndo balaa markd kubwa nilipataga 38
Muda unatosha kama IQ ipo poa na ufundishaji pamoja na mazingira ya kujifunzia vinalipa.Kwa Advance...muda ni miaka 2...maana yake bila kukariri huwezi maliza slabus... ukitaka kuelewa kila kitu kwa huo muda hautoshi.... mi mwenyewe nimesoma PCB... naijua fika mambo yake mkuu
CO, LAB na RADIOLOGY Hamna Hesabu kihivyo.Huyu ni mbovu wa namba. Hisabati haipandi ndio maana kazungusha physics na chem. Hayo uliyomshauri yanaendana na namba. Ataendelea kugeli hata akisoma certificate.
Aangalie combination zingine zisizo na namba.
Naomba nikupinge mkuu wangu, kosa sio msingi!! na ukichek mleta mada kasema alipata CCA ya PCB!!Muda unatosha kama IQ ipo poa na ufundishaji pamoja na mazingira ya kujifunzia vinalipa.
Tatizo namba moja mlilo nalo ni MSINGI MBOVU. Hamkuivishwa ipasavyo kuanzia nasare hadi form four hivyo lazima mchemshe A Level. Siwalaumu dio makosa yenu bali ni makosa ya wakati mliosoma.
Masomo magumu ndio yapi hayo??ndio elimu ya Tanzania ilivyo,,
hamna CHOICES,
watoto wanasoma mambo maguuuuuuuuuuuumu,
usiwalaumu wazazi wako,they want the best for you,
mie nashauri kasoro udaktari,masomo mengine YOTE yanayofundishwa chuo kikuu yatolewe kwenye ngazi ya chini ya elimu yaani secondary,
hii itampa mtoto CHOICE ya kusoma kitu anachokipenda,na chuo kitaibua ma expertise waliotukuka.
Ndio pua uamini kuwa wenye PhD ni watu wa pekee kwa kuelewa na kuvumilia. Uliona wapi ngaxi ya juu ya elimu ikawa nyepesi kuliko ya chini yake.mwaka mmoja umeisha nmekesha sana na mavitabu lakin cwez mudu kujib mtihan vizuri nmeamini o level ni rahisi kufaulu
Masomo magumu ndio yapi hayo??
Nimesoma sayansi kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu!!science
Nimesoma sayansi kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu!!
Siamini kama kuna somo gumu! Ugumu au urahisi wa somo/masomo is nothing "but state of mind" !!
Duuuh Pole sana Kaka mwaka Jana nilipangwa PGM nikajua ctoweza nikaenda college kuchukua diploma ushauri Wangu komaa tuuu huwezi juaSince nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine
N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
Yaan C ya Physics na Chemistry ndio ilikupa kiburi cha kwenda PCB? UlibugiSince nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine
N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
Ww utakuwa c msomi na hujapita advance mziki wa physics unajua?Hukufaulu kiuhalali--uliiba mtihani, au ulifanyiwa mtihani.