Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,237
- 24,663
Bidada aliponea hospitali, mama yake na yule mwamba walidead on the spotOut of topic
Huyu bimdada alienda wapi baada ya kutwangwa risasi(hakufa) na mama yake
Bidada aliponea hospitali, mama yake na yule mwamba walidead on the spotOut of topic
Huyu bimdada alienda wapi baada ya kutwangwa risasi(hakufa) na mama yake
Mkuu, kumbe unawatoto wakubwa?!Kuchapiwa ni swala lingine
Tafuta pesa mkuu
Huwa nikiwatazama wanangu, sijui wa kiume wataoa nani na sijui wa kike wataolewa na nani..elimu wamepga hatuaa na umri tayar.
Mungu saidia
tafadhali sana mzee wa kusikitika Mbaga Jr na mzee wa kono la nyani secretarybird wasije ona huu uzi.
We toto tundu unataka kusema nini?Mkuu, kumbe unawatoto wakubwa?!
Nakuuliza tu! Nikajua wewe ni kijana, kumbe ni Mzee mwenzangu tu.We toto tundu unataka kusema nini?
Utakula kichapo dogo!
Nakutaka wewe tu!!
INSHALAHSawa utapata mume sahihi