mwanaume sahihi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania "Nataka mwanaume sahihi" - "sahihi ni Pesa"

    Ewe kijana , ukiwa una mahusiano unayotaka yawe ndoa, mwanamke anakuzungusha kila siku , anakwmbia subiri na anawaambia marafiki zake anasubiria "mwanaume sahihi" basi zingatia neno "sahihi" maana yake ni "pesa" Huna hela kaa pembeni , Ndoto ya kila mwanamke ni kuishi maisha ya kwenye tamdhilia...
  2. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni msingi muhimu na imara, je, ni yupi mwanaume sahihi

    Shikamoon wakubwa, wadogo zangu hamjambo. Siwezi kuwa mnafiki,ndoa ni moja ya nguzo ya lazima,na napenda sana niwe na mtu sahihi ambaye tutaheshimiana. Mapenzi ni kama majani huota popote vilevile,mpenzi atapatikana popote iwe jamiiforum,mtaani na kila sehemu. Lakini ni yupi mume mwema na...
  3. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Aliamua kujioa baada ya kusubiri mwanaume sahihi kwa miaka 20

    Septemba 2017, mwanamke Laura Mesi, mwalimu wa mazoezi ya viungo wa Italia mwenye umri wa miaka 40, alifanya jambo ambalo lilivutia dunia: alijioa yeye mwenyewe kwenye sherehe ya harusi kamili, akivaa nguo nyeupe, akiwa na wapambe wa harusi na wageni 70 walioungana kusherehekea pamoja naye...
  4. Nahman

    JamiiForums Tanzania Wanawake makini wenye akili hupenda mwanaume mwenye mipango mizuri ya fedha!

    Unaweza kushangaa ikiwa hufahamu hili, Ikiwa mwanamke atapenda ufujaji na matumizi yako mabovu ya fedha basi kuwa na hakika ya kuwa uko na mwanamke mjinga na malaya! Wanawake makini na wenye akili hupenda mwanaume mwenye matumizi thabiti ya fedha, mwenye mipango na maendeleo chanya! Mwanamke...
Back
Top Bottom