Nataka mtoto

Umejuaje? Kama upo serious hamishia hii thread jukwaa la madaktari. Hapa naona utapata chit chat tuu unless that is what you want.

teari ana mtoto yeye.
 
nataka mimba ambayo itaresult mtoto umenipata hapo??
Kaa na mumeo muongee juu ya nia hii na kukubaliana wote kwa pamoja, hakuna lisilowezekana maana madaktari wameshakupa uhakika ila bado tu upande wenu kulifanyia kazi hilo mliloambiwa na madaktari.
 

Endelea na maisha yako wala usiipoteze furaha yako, madaktari wameshakupatia jibu la kibaolojia na imeonekana unaweza ku conceive, mtafute muda muende wote wawili kwa madaktari ili mfanyiwe uchunguzi wa pamoja labda baada ya zoezi hilo unaweza kupata mwanga zaidi wa ufahamu wako.
Pia unapaswa kuyaelewa maisha na madhumuni yake juu yako, inabidi ujitafute ili ujue nafasi yako katika hii dunia ni ipi ili uweze kuitumikia.
Kama ulivyosema "natamani kuzaa". Hiyo ni tamaa tu iliyojitengeneza ndani yako, baada ya kuona wanawake kama wewe wanazaa lakini labda nature inahitaji uwe mfano na kuonyesha upendo kwa kulea wa wenzako? (kwa mtazamo wa kiroho).
Pull yourself together and find yourself.
 
Kaa na mumeo muongee juu ya nia hii na kukubaliana wote kwa pamoja, hakuna lisilowezekana maana madaktari wameshakupa uhakika ila bado tu upande wenu kulifanyia kazi hilo mliloambiwa na madaktari.

nitafanya hvyo.
 

thanx for a nyc advice
 
Nenda kwenye maombi pale kwa mzee wa upako mama hilo ni pepo linavuruga mbegu za mmeo ,NAKEMEA KATIKA JINA LA YESU KRISTO ,NAKUAMURU KILA PEPO LILOFUNGA KIZAZI CHAKO YATOKE,MOTO WA ROHO MTAKATIFU USAFISHE MFUMO WOTE WA UZAZI NAWE UWE NA FURAHA KAMA WANAWAKE WENGINE.NAKUTABIRIA MAPACHA MWEZI KAMA HUU MWAKANI.Kama unaamini sema amen,utulie kwenye uwepo wa bwana Yesu na atakubari.
 
hello bnt pole na ucjali yote hyo ni mipango ya mungu bt u have 2 go kwa maspecialist wa mambo hayo thn uanze clinic afu umtafute the one u trust ambaye yuko fit halaf hyomkienda wote kwa doc atawapa schedule nzuri tu ya namna ya kutafuta mtt @ the end of the day utampata hyo mtt........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…