Nataka mkopo wa gari

Nataka mkopo wa gari

AHMARDZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
790
Reaction score
678
Habari,

Mimi ni mwajiriwa kwenye company fulani ya muhindi na kipato changu ni Tsh si chini ya 500,000/=(take home)

Nataka kukopa mojawapo ya gari hizi suzuki jimny wide au escudo ile ya zamani. Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)

Msaada jamani nashida na usafiri.

Nimejaribu bank zote kukopesha wanata mshahara upite kwenye bank zao while mie bank yangu exim ila muhindi akubali mshahara utoke nje ya exim, na exim wana leta pozi mimi kupata bank kwakua awaelewani ki maandiko yani mwajiri ataki kudhamini mfanya kazi yoyote ila mengine yuko tayari while bank awa kubali.

Ushauri jamani, na budget 4,000,000 ya kununua gari. Au kama kuna mtu anakopesha gari niwe na mpa kila mwisho wa mwezi tuna kubaliana hadi namaliza deni ana nipa card ya gari.

SITAKI MATUSI WALA UJINGA karibu tu discuss
 
Habari:
mimi ni mwajiriwa kwenye company fulani ya muhindi na kipato changu ni Tsh si chini ya 500,000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi suzuki jimny wide au escudo ile ya zamani.
Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)
msaada jamani nashida na usafiri.
Nime jaribu bank zote kukopesha wanata mshahara upite kwenye bank zao while mie bank yangu exim ila muhindi akubali mshahara utoke nje ya exim, na exim wana leta pozi mimi kupata bank kwakua awaelewani ki maandiko yani mwajiri ataki kudhamini mfanya kazi yoyote ila mengine yuko tayari while bank awa kubali. ushauri jamani, na budget 4,000,000 ya kununua gari. au kama kuna mtu anakopesha gari niwe na mpa kila mwisho wa mwezi tuna kubaliana hadi namaliza deni ana nipa card ya gari. SITAKI MATUSI WALA UJINGA karibu tu discuss
Laki 5 ukikatwa deni kulipia mkopo ukabaki na laki 3 utaweza vipi kulipia mafuta na Services ya gari na kujikimu wewe mwenyewe??
Gari sio kwa kila mtu Mkuu
 
Laki 5 ukikatwa deni kulipia mkopo ukabaki na laki 3 utaweza vipi kulipia mafuta na Services ya gari na kujikimu wewe mwenyewe??
Gari sio kwa kila mtu Mkuu
hilo lisikupe wasi wasi, kwani service bei gani? na je kila siku kuna fanyika sevice?
 
Habari:
mimi ni mwajiriwa kwenye company fulani ya muhindi na kipato changu ni Tsh si chini ya 500,000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi suzuki jimny wide au escudo ile ya zamani.
Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)
msaada jamani nashida na usafiri.
Nime jaribu bank zote kukopesha wanata mshahara upite kwenye bank zao while mie bank yangu exim ila muhindi akubali mshahara utoke nje ya exim, na exim wana leta pozi mimi kupata bank kwakua awaelewani ki maandiko yani mwajiri ataki kudhamini mfanya kazi yoyote ila mengine yuko tayari while bank awa kubali. ushauri jamani, na budget 4,000,000 ya kununua gari. au kama kuna mtu anakopesha gari niwe na mpa kila mwisho wa mwezi tuna kubaliana hadi namaliza deni ana nipa card ya gari. SITAKI MATUSI WALA UJINGA karibu tu discuss
achana na wazo ya kukupa gari itaishi maisha ya aibu sana
 
Mini nakushauri ununue gari ambalo litaongeza vyanzo vyako vya mapato, kama gari ni lazima, vinginevyo zungusha hiyo 4m ili iongezeke uweze kununua gari ukiwa na vyanzo vyenye maana vya mapato
kuhusu mapato mkuu usijali, msikomalie huko mimi nataka gari je uwezekano upo haupo
 
Mkuu, huwa sichangii sana kwenye mijadala lakini naomba nikushauri from experience. kama maelezo yako ni sahihi basi hupaswi kumiliki gari kwa sasa kwa sababu zifuatazo:
  1. Kwa budget uliyonayo utapata gari iliyochoka sana inayohitaji sio service tu bali na repair za mara kwa mara. yaani kwa mwezi waweza gonga laki 4 hivi..
  2. Kwa sababu nio mara yako ya kwanza kumiliki gari utapigwa sana na mafundi halafu hela huna.
  3. Utaishia ku park gari na mkopo unaendelea kurejesha..
Kama una vyanzo vingine vya mapato haya jaribu..
 
hahaha haya nunua ndugu yangu mana gari linahudumiwa kuliko mke kipato hicho bora ununue bajaj ikuingizie pesa aisee
ila kama unataka kujionyesha na wenzio wakuone unagari nakusikitikia kila la kheri mkuu
dah mkuu mbona tabu au si staili gari na mimi? kwani kua na gari ni kujionesha? gari nashida zangu binafsi njee ya hapo au unataka nikupe list ya maitaji yangu kua na gari? naitaji gari si itaji kua na gari kua na mimi nionekane na gari mjini, asa escudo au jimny ni gari yakuuzia sura kweli kama nilikua nataka kujionesha mkuu? ndo maana nikataka gari hizo maana niza kawaida sanaaa
 
Back
Top Bottom