Nataka mkopo wa gari

Nataka mkopo wa gari

Mkuu, mi sitakuwa mdhamin wako ila ntakufundisha njia nyingine ya kupata hilo gar unalolitaka.

Tuanzie hapa, una miaka 2 na miez 7 kazin halafu huna mtu wa kukudhamin ukope hta mil 4? Dah.. kwangu mimi naona huo ni msiba mzito.

Hapo kazin unapoteza mda mkuu, mi naamin hyo hasira yako ya kutafuta wadhamin wa kukopa gar, ungeihamishia mtaani kwenye ujasiriamali, sahiv ungekuwa unaulizia "hivi kati ya prado tx na land cruiser vx ipi nzuri?"

Mkuu nakushauri kata kambaa, achana na kukimbiza ndoto za watu nenda kapigane mtaani, sihitaji kujua elimu yako, maana mtaani kinahitajika kiu tuu kama yako na sio elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lazima uchukue gari hizo?mtaani kuna starlet namba A hadi kwa milioni tatu au mbili.na ziko vizuri tu
 
Mkuu nimesoma comments zote humu kwa mshahara huo unapata mkopo zaidi ya 8M, pili mkataba wako wa kazi & mshahara ndo security ya mkopo wako, Tatu kampuni au taasisi unayofanyia kazi pia inaongeza imani kwa taasisi zinazokopesha ikiwemo bank tatizo nowadays waajiri wengi wanaogopa kuresign muda wowote kwa wafanyakazi hata bank pia zinaogopa ksb mtu anaacha kazi bila kuitaarifu bank husika anaenda wapi ili wapange namna atakavyokuwa anarejesha mkopo wake......
Nne...km uko dsm napenda kujua ili tuongee vitu kadhaa nione km anaweza kukusaidia kupata mkopo suala la utanunua gari gani la bei gani hilo siyo tatizo kikubwa ww utimize ndoto yako ya kudrive....
WaPo watu kibao mshahara mdogo wana take home ya 200,000/- wanamiliki nding so usikatishwe tamaa pambana na hali yako kiongozi
Ahsante sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
DEAL88, mkuu niko hapa hapa dar es salaam napatikana maeneo ya tegata kibaoni ahmardz@gmail.com tuwasiliane nisaidie kaka niko tayari kwa kila kitu ili ku prove au kuku hakikishia kua niko serious.
 
Mkuu kwanza hongera sana kwa kuwa na ndoto kubwa hii, kwa determination tu uliyokuwa nayo I believe utafanikiwa. Kwanza achana na wote wanaokukatisha tamaa humu, wengi wao hawana walijualo. Msikilize Deal88, I know well about bank, nlikuwa banker for three years na najua how it works. Mimi gari yangu ya kwanza nlinunua kwa exactly 4 millions, ni toyota vitz ninayo mpka sasa. Ilikuwa katika condition nzuri mpaka washkaji ofisin wakasema eti nina bahati sana. Na tena nlilipa 2M kwanza, after two weeks nkalipa 1M na baada ya mwezi nkalipa 1M, opportunity zinatokea watu wanashida zao na sometimes unaweza ukaokota asset nzuri kwa bei chee. Ungekuwa upo Zenji ningekuunganisha na mshkaji yupo kesho ungepata gari nzuri tu.....
dah asante mkuu kwa comment ilio simama nakuenda shule nashukuru saana ni kweli unachosema mbona hata kupatana naona gari nzuri tuh mtu anauza gari yake hata 3.2m, mimi na familia issue ya usafiri nichanga moto kama kuenda hospital na mke wangu na watoto wadogo tuh nakadhalika
 
Welcome broo! anytime
 
Ni lazima uchukue gari hizo?mtaani kuna starlet namba A hadi kwa milioni tatu au mbili.na ziko vizuri tu
mkuu ni kweli una chosema hata kwenye mitandao naziona ila hizi nimependa zaidi si kutishe ni za kawaida tuh naulaji wake pia.
 
hiyo gari ukiiona popote hata kama haina engine niambie nitaleta pesa fast
JunkyardJamboreePic.jpg

kitu hicho hapo mkuu. Nakupa na kadi yake. Wala sitaki mdhamini, we nipe Milioni moja. Matengenezo madogo madogo hata laki 5 haifiki na wewe utakuwa na kausafiri kako.
 
Wachache wamekusaidia, unganisha mawazo positive tu utapata njia...naamini kuna watu wana vijihela vidogo vidogo havipigi chenga service za Gari...pia kutunza Gari kunategemea matumizi, kuna matumizi ambayo ni very light yaani Gari I natembea km 2-10 kwa siku...tena sio kwa kuendesha ovyo....kuhusu Mkopo wa Gari sina uhakika... Ningeshauri anza kuwekeza pesa kiasi Fulani let's say 200,000 kila mwz ktk saccos yenu, vumilia japo mwaka, then kopa Sacco's Mara 2 au 3 ya akiba yako, tafuta wauzaji magari sio humu mitandaoni...kule yard za mitaani, Gari used Tz..watakusaidia kulenga Gari kwa watu Fulani hapa jijini wanashida zao na Gari wamepaki Ndani mda mrefu...utanunua kwa pesa iyo na kama haitatosha mtaongea hizo terms...na mtaelewana...nilitumia njia hiyo mwaka 2014 nikafanikiwa.
Kuhusu Gari ya 4m si kweli kuwa Gari hizo ni pasua kichwa: inawezekana au isiwezekane...ila Gari nzuri na imara zipo...mhimu ni kuhakiki na fundi wako ili ujue Gari ina shida gani, maana Gari nyingi zina shida , mhimu angalia shida ya hiyo Gari isiwe pasua kichwa....

ipilimo, aise umejibu vizuri saana asante kwa mchango wako mkubwa saana wewe na deal88, sema njia yako inaitaji subira saana ila ni njia nzuri, ila saccoss si zikubali. njia nzuri naona ni ya kufungua account equity bank naku save 200,000 kila kwezi kwa mwaka ni 2,400,000 alafu nakopesha kiasi nilicho save kwa asilimia 80% then nakua na total ya 4,320,000/= alafu na fanya manunizi. ila nitakua nadaiwa deni la 1,920,000/= ambayo nitakua na lipa kwa mwezi naisi haki zidi 198,000/= kwa miezi 12 hivi. tatizo issue uvumilivu mimi na mbio kuliko upesi yani nataka instant kuliko kungojea huko kote mbali.
 
wadau kimya mmeni kimbia, nataka njia
 
chukua mshahara wote kisha ikifika weekend bet kwa man u, madrid, psg. utaipata tu hiyo gari tena kwa siku moja tu.
 
Mkuu nimesoma comments zote humu kwa mshahara huo unapata mkopo zaidi ya 8M, pili mkataba wako wa kazi & mshahara ndo security ya mkopo wako, Tatu kampuni au taasisi unayofanyia kazi pia inaongeza imani kwa taasisi zinazokopesha ikiwemo bank tatizo nowadays waajiri wengi wanaogopa kuresign muda wowote kwa wafanyakazi hata bank pia zinaogopa ksb mtu anaacha kazi bila kuitaarifu bank husika anaenda wapi ili wapange namna atakavyokuwa anarejesha mkopo wake......
Nne...km uko dsm napenda kujua ili tuongee vitu kadhaa nione km anaweza kukusaidia kupata mkopo suala la utanunua gari gani la bei gani hilo siyo tatizo kikubwa ww utimize ndoto yako ya kudrive....
WaPo watu kibao mshahara mdogo wana take home ya 200,000/- wanamiliki nding so usikatishwe tamaa pambana na hali yako kiongozi
Ahsante sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemshauri vema sana. Mimi nilikuwa nashuka hapa tokea juu kule naona tu comment za mabwana wadogo wenye akili za kuambukizana plus wasiojua mbinu za kuishi mjini.

Ngoja niendelee kusoma comment ili nione namna gani ya kumshauri huyu ndugu yetu. Hakunaga kitu kinashindikana hapa duniani mradi uwe una nia tu ya kukitaka. Uoga na hofu za kujitisha kwa kuwa na elimu ndogo juu ya kitu ndio mzani unaopimia matajiri na wasio nacho
 
Mkuu, mi sitakuwa mdhamin wako ila ntakufundisha njia nyingine ya kupata hilo gar unalolitaka.

Tuanzie hapa, una miaka 2 na miez 7 kazin halafu huna mtu wa kukudhamin ukope hta mil 4? Dah.. kwangu mimi naona huo ni msiba mzito.

Hapo kazin unapoteza mda mkuu, mi naamin hyo hasira yako ya kutafuta wadhamin wa kukopa gar, ungeihamishia mtaani kwenye ujasiriamali, sahiv ungekuwa unaulizia "hivi kati ya prado tx na land cruiser vx ipi nzuri?"

Mkuu nakushauri kata kambaa, achana na kukimbiza ndoto za watu nenda kapigane mtaani, sihitaji kujua elimu yako, maana mtaani kinahitajika kiu tuu kama yako na sio elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anapiganaje sasa mtaani maana usimwambie mtu aache kazi kisha aje mtaani ambapo hakueleweki na hivi vyuma vilivyokaza hivi
 
Ushauri tu, ukipata hilo gari jisajiri uber, mida ambayo haupo kazini unakula vichwa, ukiwa kazini unaturn off, kila laheri.
ndo nimpango wakufanya hivyo, na hata jioni naokota vichwa mwenywe kuanzia buguruni hadi ubungo, mwenge na tegeta mwisho
 
Back
Top Bottom