Nataka mkopo wa gari

Ukiona mwajiri anaogopa kudhamini wafanyakazi wake kama una akili timamu unatakiwa uwe umejiuliza maswali mengi sana zaidi ya kuwazia gari.

1.Inaonesha hauna job security kwa maana muda wowote anaweza kukupiga chini

2.Utendaji wako kazini bado haujamridhisha akuamini.

3.-------------

Wengine wataongezea
Ukweli mchungu huu.
 
nikutumie contract yangu panya wewe, kwani lazima ku comment humu kama una msaada, like basi sio kuongea pumba humu
Hahahah, acha povu wewe ni kibarua tu, hizo mikataba zenu za miaka miwili nazo mnaita ajira? Umeajiriwa wewe ni kibarua wa mhindi ndiyo maana anakutreat kama kibarua hakutreat kama mwajiriwa, mwajiri ashindwe kukudhamini mkopo wa 4M?!! Hizo gari unazotaka bei yake kwa used kutoka japani ni kuanzia 13M, hiyo budget yako utapata gari ya mkokoni, tena iliyochoka, sasa gari ya mkononi na yenyewe ndugu yangu mpaka ukope?! Dunduliza taratibu ununue kwa cash, hao wakopeshaji wameshatathmini wakaona ni risky kukupa mkono, ndiyo maana hata banker wako mwenyewe kagoma!
Hii chungu lakini ndiyo dawa ndugu yangu meza tu; TAFUTA MTAJI NDUGU ZALISHA PESA, USIRIDHIKE NA "AJIRA" YA MHINDI!
 
Habari,

Mimi ni mwajiriwa kwenye company fulani ya muhindi na kipato changu ni Tsh si chini ya 500,000/=(take home)

Nataka kukopa mojawapo ya gari hizi suzuki jimny wide au escudo ile ya zamani. Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)

Msaada jamani nashida na usafiri.

Nimejaribu bank zote kukopesha wanata mshahara upite kwenye bank zao while mie bank yangu exim ila muhindi akubali mshahara utoke nje ya exim, na exim wana leta pozi mimi kupata bank kwakua awaelewani ki maandiko yani mwajiri ataki kudhamini mfanya kazi yoyote ila mengine yuko tayari while bank awa kubali.

Ushauri jamani, na budget 4,000,000 ya kununua gari. Au kama kuna mtu anakopesha gari niwe na mpa kila mwisho wa mwezi tuna kubaliana hadi namaliza deni ana nipa card ya gari.

SITAKI MATUSI WALA UJINGA karibu tu discuss
Mimi ni dreva by profession..na ninamiliki gari tatu.kiufupi huo mshahara wako kama unataka kukopa gari kwa ajili ya kutembelea peke yake naomba uache maana ukikatwa mkopo wa gari utabaki na pesa kidogo kisichokidhi mahitaji ya gari na ya kwako mwenyewe.kua mvumilivu mpka hali yako itakapokuruhusu,ila kama ni mkopo wa gari la biashara nakushauli kopa tu ili ukue kiuchumi.gari ni msaada lakini pia ni pressure.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
mbona ume fafanua vizuri asa ulivyo kua una jishaua mwanzo, mimi sitaki japan nataka used kwanini ulazimishe mfuko wangu, na hapo ju nimesema na lipwa sio chini ya 500,000 sio kwamba nalipwa 500,000 hapo nimeficha mshahara usitake kujua zaidi, wewe nikiwa na gari used au kibarua inakuuma nini, mimi nilitaka jibu simple nenda kule fanya process au waone watu hawa basi simple as that, sasa kibarua mkataba. dah ndo nyie shuleni mnaulizwa swali mnajibu majibu mengine kabisa ili mradi ujaze karatasi, come on!!!!!!!!!
 
Naona kama limekuchoma, hata kama kibarua kwani hapaswi kutimiza ndoto zake? Iyo hela anayolipwa wapo watu tele wanasaga meno kuitafuta kwa kuwa mko mitandaoni bac kila atataka aonekane safi.
 
Mimi ni dreva by profession..na ninamiliki gari tatu.kiufupi huo mshahara wako kama unataka kukopa gari kwa ajili ya kutembelea peke yake naomba uache maana ukikatwa mkopo wa gari utabaki na pesa kidogo kisichokidhi mahitaji ya gari na ya kwako mwenyewe.kua mvumilivu mpka hali yako itakapokuruhusu,ila kama ni mkopo wa gari la biashara nakushauli kopa tu ili ukue kiuchumi.gari ni msaada lakini pia ni pressure.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Wachachache watakaokuelewa!
 
Wewe tu ulichagua kujilesi na kuacha kuelewa. Kwenye taasisi za kubwa kifedha ni ngumu wewe kukopesheka, jaribu sehem kama FINCA, PRIDE nk, au lah, pita kwa watu wenye showrooms, sku hizi wana mtindo wa "kuvunja", yaani una gari yako umeshaitumia unataka jipya kwa hiyo unaenda showroom unamwachia hiyo iliyotumika unaongezea na pesa unachukua gari nyingine. Mwenye showroom ukiweza kum-convince (LAZIMA uache na deposit) atakukopesha, unasign mkataba unaacha na kadi ya benki ili msisumbuane kufuatiliana, ukimzingua ukatoa pesa kwa mobile money halafu yeye akakuta hewa anakusaka anachukua gari lake na kiasi ulicholipa kinapotea!
mbona ume fafanua vizuri asa ulivyo kua una jishaua mwanzo, mimi sitaki japan nataka used kwanini ulazimishe mfuko wangu, na hapo ju nimesema na lipwa sio chini ya 500,000 sio kwamba nalipwa 500,000 hapo nimeficha mshahara usitake kujua zaidi, wewe nikiwa na gari used au kibarua inakuuma nini, mimi nilitaka jibu simple nenda kule fanya process au waone watu hawa basi simple as that, sasa kibarua mkataba. dah ndo nyie shuleni mnaulizwa swali mnajibu majibu mengine kabisa ili mradi ujaze karatasi, come on!!!!!!!!!
 
Kwa kipato cha sh.500,000 kwa mwezi unaweza kumiliki gari lakini unaweza usiliendeshe baada ya wiki mbili za kwanza kuisha. Sababu ili uendeshe unatakiwa uwe na sh 300,000.kwa mwezi kwa ajilo ya gari tu.
 
Tatizo lako sio la mwenzako ,we kama uwezi mwenzio anaweza ,, watu walipwa laki 4 ni daily wanapiTia sheli , , seme kwako ndo haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JunkyardJamboreePic.jpg

kitu hicho hapo mkuu. Nakupa na kadi yake. Wala sitaki mdhamini, we nipe Milioni moja. Matengenezo madogo madogo hata laki 5 haifiki na wewe utakuwa na kausafiri kako.
 
Mimi ni dreva by profession..na ninamiliki gari tatu.kiufupi huo mshahara wako kama unataka kukopa gari kwa ajili ya kutembelea peke yake naomba uache maana ukikatwa mkopo wa gari utabaki na pesa kidogo kisichokidhi mahitaji ya gari na ya kwako mwenyewe.kua mvumilivu mpka hali yako itakapokuruhusu,ila kama ni mkopo wa gari la biashara nakushauli kopa tu ili ukue kiuchumi.gari ni msaada lakini pia ni pressure.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
kaka nimekuelewa vizuri umeongea vizuri. najua pressure za gari nilishawai kumiliki gari cc 2.4 nimeona stress zake ndo maana nikataka hizo za hafueni cc 1.5 na nina familia napata tabu kwenye issue ya usafiri nikitoka na familia kama kwenda hospital na kadhalika.
 
Wewe tu ulichagua kujilesi na kuacha kuelewa. Kwenye taasisi za kubwa kifedha ni ngumu wewe kukopesheka, jaribu sehem kama FINCA, PRIDE nk, au lah, pita kwa watu wenye showrooms, sku hizi wana mtindo wa "kuvunja", yaani una gari yako umeshaitumia unataka jipya kwa hiyo unaenda showroom unamwachia hiyo iliyotumika unaongezea na pesa unachukua gari nyingine. Mwenye showroom ukiweza kum-convince (LAZIMA uache na deposit) atakukopesha, unasign mkataba unaacha na kadi ya benki ili msisumbuane kufuatiliana, ukimzingua ukatoa pesa kwa mobile money halafu yeye akakuta hewa anakusaka anachukua gari lake na kiasi ulicholipa kinapotea!
JR umeongea point sasa, nitajaribu kweli naitaji gari not for show off
 
Kwa kipato cha sh.500,000 kwa mwezi unaweza kumiliki gari lakini unaweza usiliendeshe baada ya wiki mbili za kwanza kuisha. Sababu ili uendeshe unatakiwa uwe na sh 300,000.kwa mwezi kwa ajilo ya gari tu.
sio kweli
 
Habari,

Mimi ni mwajiriwa kwenye company fulani ya muhindi na kipato changu ni Tsh si chini ya 500,000/=(take home)

Nataka kukopa mojawapo ya gari hizi suzuki jimny wide au escudo ile ya zamani. Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)

Msaada jamani nashida na usafiri.

Nimejaribu bank zote kukopesha wanata mshahara upite kwenye bank zao while mie bank yangu exim ila muhindi akubali mshahara utoke nje ya exim, na exim wana leta pozi mimi kupata bank kwakua awaelewani ki maandiko yani mwajiri ataki kudhamini mfanya kazi yoyote ila mengine yuko tayari while bank awa kubali.

Ushauri jamani, na budget 4,000,000 ya kununua gari. Au kama kuna mtu anakopesha gari niwe na mpa kila mwisho wa mwezi tuna kubaliana hadi namaliza deni ana nipa card ya gari.

SITAKI MATUSI WALA UJINGA karibu tu discuss
Haya jitaidi utafanikiwa bt mambo mazur hayataki haraka

Bt mi ninashida na kazi pls km unaelewa sehemu yeyote naomba msaada pls co kejeli serious

Mkuu nimesoma comments zote humu kwa mshahara huo unapata mkopo zaidi ya 8M, pili mkataba wako wa kazi & mshahara ndo security ya mkopo wako, Tatu kampuni au taasisi unayofanyia kazi pia inaongeza imani kwa taasisi zinazokopesha ikiwemo bank tatizo nowadays waajiri wengi wanaogopa kuresign muda wowote kwa wafanyakazi hata bank pia zinaogopa ksb mtu anaacha kazi bila kuitaarifu bank husika anaenda wapi ili wapange namna atakavyokuwa anarejesha mkopo wake......
Nne...km uko dsm napenda kujua ili tuongee vitu kadhaa nione km anaweza kukusaidia kupata mkopo suala la utanunua gari gani la bei gani hilo siyo tatizo kikubwa ww utimize ndoto yako ya kudrive....
WaPo watu kibao mshahara mdogo wana take home ya 200,000/- wanamiliki nding so usikatishwe tamaa pambana na hali yako kiongozi
Ahsante sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza hongera sana kwa kuwa na ndoto kubwa hii, kwa determination tu uliyokuwa nayo I believe utafanikiwa. Kwanza achana na wote wanaokukatisha tamaa humu, wengi wao hawana walijualo. Msikilize Deal88, I know well about bank, nlikuwa banker for three years na najua how it works. Mimi gari yangu ya kwanza nlinunua kwa exactly 4 millions, ni toyota vitz ninayo mpka sasa. Ilikuwa katika condition nzuri mpaka washkaji ofisin wakasema eti nina bahati sana. Na tena nlilipa 2M kwanza, after two weeks nkalipa 1M na baada ya mwezi nkalipa 1M, opportunity zinatokea watu wanashida zao na sometimes unaweza ukaokota asset nzuri kwa bei chee. Ungekuwa upo Zenji ningekuunganisha na mshkaji yupo kesho ungepata gari nzuri tu.....
 
Back
Top Bottom