Nataka mkopo wa gari

Nataka mkopo wa gari

WADAU: ASANTENI SAANA kwa mawazo yenu na ushauri wenu mzuri, nataka kuwapa mrejesho kidogo ni kwamba nimepata usafiri aina ya corolla E110 msio lijua hilo gari mna weza ku google. hilo gari nilipata nilivyo enda kumsalimu mkee wangu babu yake, ana hio gari ameli park uwani lime tegwa ju ya mawe yani kwa mtazamo halifai, basi kwenye story nikaropoka babu kwanini usi niuzie hilo gari maana usafiri shida na mie na pata shida na usafiri kutoka na familia etc...kanitamkia nipe 1.5m siku sita basi nikawa na mpa hela kumbe huku babu ana tengeneza gari mfano kalipiga rangi yani service ya kawaida kwa ufupi gari imependeza na watu walikuja kutaka kuinunua 4,000,000 babu kagoma kuuza na juzi kani kabidhi gari, yani kwa ufupi gari kanipa sio kaniuzia asa na waza zawadi gani ya kutoa huyu mzee. so asaivi niko usafiri
 
ndo nimpango wakufanya hivyo, na hata jioni naokota vichwa mwenywe kuanzia buguruni hadi ubungo, mwenge na tegeta mwisho
juzi nilikua makumbusho usafiri ulikua washida saana, hadi bajaji alafu bajaji kutoka makumbusho za kuchanga ni 4,000 hadi tegeta nikawa na waza aise hivi ninge kua na gari nika wabeba yani wateja wangu daily nika watengenza yani kwa siku niingize 40,000 tuh sio mchezo aise
 
Weka akiba ikifikia hicho kiwango tafuta japo utapata lililotumika hapa bongo
 
Baab hongera kupata usafiri...gari ni basic need kwa mtu yeyote, kuwa na gar ni mwanzo wa kupata connection mbalimbali hyo gar ni economy sana ukipata carina, Toyota premio old model safi sanaa
 
Mini nakushauri ununue gari ambalo litaongeza vyanzo vyako vya mapato, kama gari ni lazima, vinginevyo zungusha hiyo 4m ili iongezeke uweze kununua gari ukiwa na vyanzo vyenye maana vya mapato
Mkuu jamaa hata hiyo 4m hana,anatafuta mkopo,ss ataizungushaje hela ambayo hana?
 
Mkuu nimesoma comments zote humu kwa mshahara huo unapata mkopo zaidi ya 8M, pili mkataba wako wa kazi & mshahara ndo security ya mkopo wako, Tatu kampuni au taasisi unayofanyia kazi pia inaongeza imani kwa taasisi zinazokopesha ikiwemo bank tatizo nowadays waajiri wengi wanaogopa kuresign muda wowote kwa wafanyakazi hata bank pia zinaogopa ksb mtu anaacha kazi bila kuitaarifu bank husika anaenda wapi ili wapange namna atakavyokuwa anarejesha mkopo wake......
Nne...km uko dsm napenda kujua ili tuongee vitu kadhaa nione km anaweza kukusaidia kupata mkopo suala la utanunua gari gani la bei gani hilo siyo tatizo kikubwa ww utimize ndoto yako ya kudrive....
WaPo watu kibao mshahara mdogo wana take home ya 200,000/- wanamiliki nding so usikatishwe tamaa pambana na hali yako kiongozi
Ahsante sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mrejesho
 
Back
Top Bottom