Nataka mkopo wa gari

Njia rahisi 3 1/mwajili wako anakudhamini, anakukopea gari , 2/ unapelaka payslip na mkataba na barua ya mwajili bank unakopa fungu ,3 Kuna agent wana deal na kuuza magari , unapeleka vielelezo vyako unalipia 80% afu utadaiwa 20 % ili upewe kadi , ukitaka hao agents tutaonana ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka njia ya pili imeshindikana nimepigana mwajiri hataki kumdhamini mfanyakazi yoyote yani hataki kua garantor ila vingine atafanya yuko tayari ndo nakwamia hapo bank yangu ni exim, ya tatu sina uwezo wakulipia asilimia 80%. hio inakua sawa nakununua starlet. ya kwanza inataka kunana na yapili issue kudhamini. nne hakuna sehemu nakopa alafu na lipa kidogo kidogo, hata wanasheria tutaweka naweka na standing order kutoka bank yani ikingia hela moja kwa moja inaingia uko kwa wakopeshaji
 
Gari ni muhimu full stop.Liwalo na liwe linunue tu siku hela ya service hakuna lipark home mambo yakikaa poa linarudi barabarani tena.

All the best kwenye kukamilisha ndoto yako boss.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
umelenga mule mule
 
Ukiona mwajiri anaogopa kudhamini wafanyakazi wake kama una akili timamu unatakiwa uwe umejiuliza maswali mengi sana zaidi ya kuwazia gari.

1.Inaonesha hauna job security kwa maana muda wowote anaweza kukupiga chini

2.Utendaji wako kazini bado haujamridhisha akuamini.

3.-------------

Wengine wataongezea
 
boss hapo zamani walikua wanafanya ku dhamini mfanya kazi asa wengine wakaja kuzingua wanaacha kazi so company ikasema kwanzia sasa nakuandelea atu dhamini mtu ila kama unataka tafuta staff mwenzako mdhainiane basi. job security ipo kaka. na 2years n 7months sasa wenzangu wana zaidi ya miaka saba hapa job.
 
Unataka gari budget yako 4m.ngoja nikwambie kitu rafiki ,gari unayotaka kwanza kabisa jua hio itakuwa mbovu,pia ujiandae na mabao ya trafic kila siku yaani hio itakuwa chuma ulete,halafu kila siku ww upo kwa fundi na ikiwa unataka kujua ufundi basi ww nunua hio gari ya 4m na baada ya miezi sita utatuletea mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah watu mnajua kukatisha tamaa humu aya basi si nunui hio gari kama metumwa na wakwe zangu, haya naenda kugawa hio hela nakulewa na malaya na kula nao bata kuliko kumpa fundi au traffic :(
 
Kama mwajiri wako akupi ushirikiano , wakukudhamini , njia nyingine hizo ni risk na zita kupa stress, maaana ukikopa kuna bakubaliano na timelimit yakulipa usipo timizi , gari litachukuliwa na hyo 80% haturudishagi , jaribu means ya kufanya saving ili ukope mkopo mdogo ambao utaweza lipia ndani ya miazw kadhaa

poa mkuu sina jinsi inavyo nekana mambo tight
 
Ukiona mwajiri anaogopa kudhamini wafanyakazi wake kama una akili timamu unatakiwa uwe umejiuliza maswali mengi sana zaidi ya kuwazia gari.

1.Inaonesha hauna job security kwa maana muda wowote anaweza kukupiga chini

2.Utendaji wako kazini bado haujamridhisha akuamini.

3.-------------

Wengine wataongezea
Hajaajiriwa, ni kibarua wa mhindi!
 
Back
Top Bottom