Nataka kwenda kuchora Tatoo

Chora mama, tena chora tu tattoo za kutosha. Allah ametupa utashi, lakini ukiutumia utashi huo bila yeye mwisho ndio kama hivi.

Wenye location please help her, ndipo dunia ilipofikia sasa, what can we do!!
Waja acheni unafiki,mbona vipo vingi tu binaadam mnavyovipenda na kuvitenda ambavyo vipo kinyume na mafundisho ya Allah!? Kila mtu apambane na maisha yake ,siku ya mwisho hautaulizwa Mwanakheri aliomba ushauri wa Tatoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaogopa dhambi ya Tatoo tu kwa Mungu!? [emoji1] [emoji1] mnanichekesha sana ila kuzini mnazini,pombe mnakunywa,matusi mnatukana,uongo mna nena ila Tatoo tu ndo dhambi ya kuogopewa kwa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
duuhhh!samahani dada angu sirudii tena!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Kwa umri wangu kuajiliwa pengine labda nitumbuliwe ,hata hivyo sina lengo la kuchora mchoro mkubwa au wa wazi ni kiji mstari tu cha maneno machache,shukrani sana kwa location

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikutafutie contact za huyu kaka wa mwananyamala nikupatie.
 
Binafsi nimesisitiza wenye location wakupe ili ukamuenzi Abel kwenye bega, kuna ubaya hapo?

Abel is one lucky chap.
 



Karibu sana aisee,hapo niko kazini na mteja wangu
 
Napenda mkononi ila maisha hayaniruhusu kuchora tattoo inayoonekana kwa sasa hivi. Naendelea kuvuta vuta muda kwanza.
Ukichora ya bae wako pale chini kabisa utakuwa umemtendea haki asee. Begani hakuna mvuto hata kidogo ujuwe, halafu ukichora ya 'uziguani' mtakuwa mnaona wawili tu na bae wako.[emoji12]

Can't imagine myself screwing a lady with demonic tattoos, sounds romantic[emoji12] [emoji125]
 
Wewe ni malaya ,na hapa najiandaa kukuanzishia thread nimekufatilia muda mrefu sana na mauchafu yako yote yale nitayanika

Una roho mbaya kama shetani.
Asante nitashukuru Ukinianzishia Thread ila nitapangua yote maana sijawahi andika uongo ila umeshindwa tu kunielewa kwa kifupi tu
Yes Kasim alikua mchumba wangu + rafiki wa mume wangu wa sasa na kabla ya kifo chake kilichosababishwa na ugonjwa wa kwikwi nilikua tayari Nina ujauzito wake wa wiki kadhaa na baadae sana baada ya kuzaa na kuzoea maisha Abeid (aliye pata ajali Bagamoyo road) alinichumbia na nipo nae mpaka Leo hii,anzisha thread Mkuu nitashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya bae wangu siko tayari kutake hiyo risk, bae ntakua namchora kwa piko tu ili wakati wa mambo ya uziguani awe anaiona kwa nyuma nini.
 
Nichore na Mimi...Naahidi sitakuangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…