Nataka kuwa mwanasiasa

Nataka kuwa mwanasiasa

Petro,

I have known you for the past 15 years. I further share with you the profession. I am urging you to join Chadema and strongly urge you to contest for a seat as an MP for Rural Kibaha. I am sure you will get out with a victory. I have personally resolved to hold a meeting with the Chadema Leadership in Kibaha Town with a view of hearing from them (having conducted as assesment on me) whether they can endorse me as the flag bearer for a seat as an MP for Kibaha Town in 2015. I urge you to join Chadema,the time is now for your revolutionary and visionary ideas to become true through Chadema

Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
 
Petro,

I have known you for the past 15 years. I further share with you the profession. I am urging you to join Chadema and strongly urge you to contest for a seat as an MP for Rural Kibaha. I am sure you will get out with a victory. I have personally resolved to hold a meeting with the Chadema Leadership in Kibaha Town with a view of hearing from them (having conducted as assesment on me) whether they can endorse me as the flag bearer for a seat as an MP for Kibaha Town in 2015. I urge you to join Chadema,the time is now for your revolutionary and visionary ideas to become true through Chadema
Much obliged my Learned Brother. I buy your ideas. Let me put them into the truth.Thank you Mkuu@UJANJAUJANJA
 
una ela? una connection? kama hivo hauna kimoja wapo siku hizi basi utaishia kuwa baloz wa nyumba kumi
 
Njoo Ujiunge na UVCCM, Kauli yetu ni KULINDA NA KUJENGA UJAMAA.
 
Mkuu katalina,mim ni kweli Mwanasheria.Nimemaliza darasa moja na Katibu wa BAVICHA aliyesimamishwa wa Mwanza,Bwana Salvatory Magafu.Nimemaliza darasa la mbele la Esther Wassira ambaye ananifahamu vyema. Sisemi uongo Mkuu.
Mselwa P. nakufahamu sana tangu unasoma Songea Box (Box 2) na hata sasa ukiwa mwanasheria wa kuajiriwa hapo Mlimani, unafaa kuingia kwenye fani hiyo ya siasa kwa utashi wako usitegemee ushauri wa watu, fikiria wewe mwenyew ni chama kipi kinadhamira ya kweli ya kuwakomboa Watanzania.
 
Hongera sana kwa ambition yako yakuwa mwanasiasa ila na kuomba pia ujifunze Kuwa muongo because nearly all of them are liars!
 
Kwa jinsi ulivyojitambulisha,nadhani una elimu kubwa sana kaka! Pamoja na kuwa na elimu hiyo,kwenye mambo ya siasa si kigezo cha kuangaliwa sana! Unatakiwa kuwa mzalendo kama Steve Bantu Biko! Na huo uzalendo uwe wa kutoka moyoni hasa! Ningekuwa na elimu kama ya kwako,nisingeuliza chama gani kingenifaa!
 
Mselwa P. nakufahamu sana tangu unasoma Songea Box (Box 2) na hata sasa ukiwa mwanasheria wa kuajiriwa hapo Mlimani, unafaa kuingia kwenye fani hiyo ya siasa kwa utashi wako usitegemee ushauri wa watu, fikiria wewe mwenyew ni chama kipi kinadhamira ya kweli ya kuwakomboa Watanzania.
Nimekuelewa Mkuu.Leo nimeshaanza kuzisoma katiba za vyama ili nichague vyema
 
Kwa jinsi ulivyojitambulisha,nadhani una elimu kubwa sana kaka! Pamoja na kuwa na elimu hiyo,kwenye mambo ya siasa si kigezo cha kuangaliwa sana! Unatakiwa kuwa mzalendo kama Steve Bantu Biko! Na huo uzalendo uwe wa kutoka moyoni hasa! Ningekuwa na elimu kama ya kwako,nisingeuliza chama gani kingenifaa!
Wewe ungefanyaje dogo?
 
We ni mtu mzima kabisa tena mwenye shahada ya sheria,naomba nikuulize swali unazani kati ya CCM na CHADEMA kipi ni chama bora?(kujibu swali hili wala haitaji kusoma kwanza katiba ya chama husika)
 
:target:...unataka kuwa mwanasiasa wa chama gani? kama unataka kuwa mwanasiasa kupitia chama cha CCM jifunze uongo na matusi machafu ya nguoni kama LUSINDE na MCHEMBA! jifunze kuwa mpayukaji kama NAPE! jifunze kuwa mbabe kama WASIRA.... jifunze kutoa ahadi nyingi nzuri zisizotekelezeka kama naniii...yule nani vile...
:target:
 
Si mchezo
 
Nionavyo mimi nenda kwa Maccm

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom