Nataka kuwa mwanasiasa

Nataka kuwa mwanasiasa

Umesomea sheria halafu unataka kuwa Mwanasiasa? very interesting ni kwa usijiunge na kituo cha msaada wa kisheria ili uweze kusaidia watu wengi zaidi kupata haki zao?
Mkuu Matola,hata nikiwa mwanasiasa nitahakikisha watu wanapata haki zao tu
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nakupongeza kwa kufikiria kuwa mwana siasa wazo hai kabisa. ktk siasa kuna kazi kuu mbili 1. kuwa kiongozi wa chama cha siasa 2. kuwa mwakilishi wa chama. wananchi katika serikali kuanzia. m.kiti wa mtaa, diwani, mbunge. sasa mimi nakushauri uingie ktk siasa kama mwakirishi. usiwe kiongozi wa chama sababu zipo nyingi ambazo siwezi kuzieleza hapa. pia nakushauri kutokana na hali ilivyo sasa chama cha siasa ambacho kina kufaa ni CHADEMA sababu zipo ila siwezi kukwambia ninakushauri kama upo tayari kupata ushauri zaidi weka namba zako za simu tukutafute. kumbuka hakuna aliye zaliwa mwanasiasa hivyo wewe utakuwa bora kama utataka kuwa mwanasiasa bora.
 
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
Hakuna Chama chochote kile cha Siasa kinachofaa hapa nchini Tz, vyama vyote ni "wale wale tu."
 
Ili ufanikiwe na uwe tajiri kwenye hizo nchi ulizo taja, ina bidi uwe karibu na siasa na wanasiasa kwa ujumla.
Matokeo yake ni kwamba lazima utakuwa na mafanikio haramu, mafanikio ya magumashi na ya wasiwasi yasiyokuwa Endelevu (Unsustainable development/ achievements).
 
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
Kama Hadi muda huu hujajua ni wapi patakifaa, maana yake hufai kuingia kwenye Hilo tamanio, maana yake hujui agenda za vyama vilivyopo nchini.
Ni vema ukaendelea kuitumikia nchi kwa taaluma yako, maana Kuna maeneo mengi yanayohitaji utatuzi kupitia taaluma yako
 
Hakika Mkuu. Kwa miaka kumi nimeshindwa kuamua kuwa mwanasiasa. Naendelea na taaluma yangu tu
 
Kama unataka kuwa mwanasiasa kupitia wazalendo na wakombozi wa kweli wa tanzania tunayoitaka, unatakiwa kuvaa gwanda ingia kwenye mstari ................... tangaza M4C.

Kama unataka kuwa mwanasiasa kupitia magamba hiyo elimu yako siyo kigezo, unatakiwa uingie chuo cha siasa hapo bagamoyo upewe cheti uwe vuvuzela kama lusinde

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa. Nataka kushiriki,kama kiongozi wa kisiasa,katika kuiongoza na kuijenga nchi yangu-Tanzania. Nina ndoto ya kuwa mwanasiasa mahiri. Nataka kujiunga na wanasiasa vijana waadilifu na wenye uchungu wa kweli wa ukombozi wa kifikra na kiuchumi wa watanzania.Ni mzaliwa wa Wilaya ya Kibaha,Mkoa wa Pwani ingawa ni mngoni. Tanzania yetu inaruhusu kuchanganyika kama hivi.

Sasa nina miaka thelathini.Ni msomi wa sheria kwa Shahada ya kwanza niliyohitimu mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Nikiwa shuleni na Chuo Kikuu na hata Taasisi ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo,almaarufu kama Law School of Tanzania,nimewahi kuwa kiongozi wa ngazi mbalimbali.Nilianzia umonita hadi Urais.CV yangu ikihitajika nitaiweka hapa

Wajuzi wa siasa za nchi hii niongozeni.Nifanyaje? Chama gani cha kisiasa kitanifaa? Kwanini? Nisaidieni wakuu
Ongezea ubobezi kwenye UJINGA
 
Back
Top Bottom