Nataka kuuliza ila naogopa!!!!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
Kuna jambo nimetamani kulijua ila naogopa 'maneno' ntakayoporomoshewa naweza nikakosa usingizi wa leo!!!!!!!
 
sema tu mkuu! hii ni home of great thinkers hawana noma>>>........
 
nilishaambiwa mimi ni mkabila kwa kuwa nilikuwa nataka kujua ukweli wa kabila fulani la mkoa wa kaskazini mwa tanzania
 
Mficha maradhi kifo humuumbua, na mficha uchi hazai! Ila kwa mademu wa kileo hakuna anaeficha uchi!
 
Mficha maradhi kifo humuumbua, na mficha uchi hazai! Ila kwa mademu wa kileo hakuna anaeficha uchi!

huko umeenda mbali sana mkuu, mbona mnawaonea sana hao viumbe, why? Kama hawafichi basi kuna ambao nao hawafichi kama ilivyo kwa mademu
 
Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha.............
 
Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha.............

Hahahahaaaaaaaa! umejuaje kaka, au ndo tuseme umerithi 'mikoba' ya shekhe yahya nini.......................!
 
Kama unashindwa kuweka hapa hadharani. Wa-PM member wote. Wakujibu kwa njia hiyohiyo.
 
Naona hapa tunauza kahawa kwa mtogole, napita tu mie na mipresha huwa stumii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom