Nataka kuuliza ila naogopa!!!!

Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha.............
Mtambuzi umejuaje?
Kwanza ndyoko alitaka tu kuuliza jinsia yake kama yeye ni mwanamume au mwanamke, maana tangu apate ugonjwa wa kusahau sau, kidogo swala la jinsia yake limekuwa tata
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom