Ni kampuni au nini? Angalia sana usipigwe.Kwa wenye kujua kuhusu huu mfuko
Sasa we kusoma si unajua?Hamna nimeuliza tu
Ohoo. Subiri wanaoelewa watakufafanulia.Vodacom huduma ya m wekeza
Hasira unazijua ukiziona?Shida nini mbona hasira mkuu Mimi si nimeleta huu uzi Ili kupata ufafanuzi Kwa wadau
ya umaskiniPole ya nini mkuu
Ningekua sijui kusoma ningekujibu naona unahasira zako Sasa usiziamishie kwangu pambana na Hali Yako mkuu kwani nimekulazimisha unipigie hesabuHasira unazijua ukiziona?
Nmekuuliza kusoma unajua, huoni hapo pa kupigia hesabu? Means hakuna logic ya wew kuja kusumbua wadau wakupigie hesabu wakati m wekeza wenyewe wana opt ya wewe kumaliza mahesabu yako.