Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Tumekuwa kaka na dada lini??! #shocked
Huu mwaka ni wakushangaa, mlishaambiwa huu mwaka haugawanyiki kwa mbili hivyo mjipange mkaona ni utani
Tumekuwa kaka na dada lini??! #shocked
Ahahah...basi twende kwa hiari huenda ikawa ile siku vilijificha na vyenyewe kwa uoga...heheh
Ngakuesaleeeee kapime kwanza jombii ukiwa fiti/umeumia tujue moja.....cha arusha nakuja na sakapal kigamboni weekend hii ....lazima tuchome sana,,,Sakapal mama upo tayari???..Kuhusu kuacha pia nitajitahidi maana hata sasa hivi Njiode likindo linoru noru njikapaa Banaa..hahaha Njikapa mpaka ngama,Njikapa mfori kyokyi arwa....eeeh chi ngululu pfoe nyi mfori pfo upfu.....hahahahahaha Mentor nosecha shindo sycha ncho:llama:Ahaha..mkuu endelea tu kuvuta kitu cha Arusha ila iyo mambo ya kuteleza potezea mangi...aya..
toka siku ile hujapima?nenda tu yaani kuishi kwa kujua afya yako ujanani raha kweli..ndo maana naringia papuchi yangu kwa raha zangu siku hizi...
Ngakuesaleeeee kapime kwanza jombii ukiwa fiti/umeumia tujue moja.....cha arusha nakuja na sakapal kigamboni weekend hii ....lazima tuchome sana,,,Sakapal mama upo tayari???..Kuhusu kuacha pia nitajitahidi maana hata sasa hivi Njiode likindo linoru noru njikapaa Banaa..hahaha Njikapa mpaka ngama,Njikapa mfori kyokyi arwa....eeeh chi ngululu pfoe nyi mfori pfo upfu.....hahahahahaha Mentor nosecha shindo sycha ncho:llama:
wapiiiiiii......hivi unazijua Genye wewe?yani mkipima game ni baada ya kupima mara ya pili???mmmmh..Embu ni-convince Lol
Hongera sana kwa ujasiri huo hiyo pia inaonesha unautendea haki mwili wako kuhusu kale kahuduma.
sanaaaa sitaki utani atii mbele ya hazina ya mwili wangu weeeh!! ndo maana unaona nimempa Obama vigezo na masharti muhimu kuzingatiwa.
bana weee yaaani kifupi mie nilikuwa mkali genye mbele ya ngoma kwangu ilikuwa haina nafasi, akili ilikuwa haiwazi ngono kabisaa nikifikiria kuishi kwa matumaini weeeh nilikuwa nabana miguu hadi basi.
Umenikumbusha kuna wimbo ulikuwa unaimbwa shule na watoto watukuku, ''SIUZI MIMI WALA SITOI BURE, UNAIBANABANA ITALIWA NA NYENYERE''.
Nitakupm Mentor lakini uwe unajua kuishi na siri mpaka kifo ikiwa majibu yatakuwa the otherway nisikutangaze usinitangaze unaweza tunza siri hadi kifo labda niamue/uamue kutangaza mwenyewe
kila la kheri........kwani hadi leo hujatia maguu VCT centre
TANMO angalia utapotea bro...kujua afya yako ni muhimu sana. Au una uhakika kuwa ushaukwaa?Papuchi iko free from virus?? hongera yako.... sisi bado tunajikongoja. nitaenda kupima siku nikisikia dawa ya ukimwi imepatikana............
bana weee yaaani kifupi mie nilikuwa mkali genye mbele ya ngoma kwangu ilikuwa haina nafasi, akili ilikuwa haiwazi ngono kabisaa nikifikiria kuishi kwa matumaini weeeh nilikuwa nabana miguu hadi basi.
Umenikumbusha kuna wimbo ulikuwa unaimbwa shule na watoto watukuku, ''SIUZI MIMI WALA SITOI BURE, UNAIBANABANA ITALIWA NA NYENYERE''.
hongera kwa uamuzi huo..nishapima tayari
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh...
u dont want me to spill ze beans here mentali..
Worry it out ......wala isiwaze lazima tukakinukishemweeeehh!! huko kigambonino sasa, umejuajeeee??? yaani kitu kinapaa vibaya. Bange nibangue niende kigambonino week end na mentali zangu woteee, nawasubilia mwanaaa kitu mwaaa cha alushaaa mwanaaa (heheheheeee)
Mi naenda na baby wangu pia ndio namsubiri twende Amref,,,,
It's foolish to fear what you can not avoid..
So no way out madam test lazima...