nilipima juzi kati tu hapa.. Mentor
saiv full amani
I like it, du hata mimi naungana nanyi, kunamahali nlipata raha ila mmmh!
Nitakusindikiza hapo ANGAZA ya AMREF...wanapima bure na kidude flani kimekaa kama kile wanachopimia mimba wadada...dk 15 tu unajua status yako
Hongera ubunifu mzuri, Vp lakini umewasiliana na mwenyewe juu ya hii Remix,.
saudari jibu hilo hapo...cc: Wengine wote mtakaoulizia majibu yangu:
My Besame...sijaenda nafikiria kwenda weekend, vipi utakuwa na nafasi unisindikize!??
Kifua nnacho sana my dear..waiting...
Sijatia, unakumbuka kuna siku ulisema tutaenda halafu ukapotea mazima!??
TANMO angalia utapotea bro...kujua afya yako ni muhimu sana. Au una uhakika kuwa ushaukwaa?
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh...
u dont want me to spill ze beans here mentali..
Lini!?? na mbona kimya kimya ivo wangu?
hee hee si ulisha opolewa humu?
umeachwa?
Sshhhhhhhhhhh........... Nilikuwa nakutania..!! Hakuna zaidi yako..!
Nilikuwa nakurusha roho tuu.... Sina ujanja wa kukuacha..!
pole sana
nakuona ulivyo konda hadi nasikia huruma lol
karibu nyumbani lol