Nataka Kupima...

Nataka Kupima...

Rura kumbe umepunguza ?me nafikiri umeacha jamani me nataka nisindikizwe na wakaka 2 hapa jf sijui watanikubalia?
 
Nakumbuka nilikua sijawahi panda Teksi kwa muda mrefu ila that day nilipanda Tax mpaka job nikampatia HR majibu yake....From that day nimepunguza kama si kuacha kabisa Ngono zembe.

Haahahahahaaaaaa yaaani nimecheka kidogo nigonge gari ya mbele looh wacha niweke hii mulimuli pembeni hadi nifike home aaah!! jamani kuna watu mnavituko sana.
Ni vizuri kupima mie wakati wa uschana wangu kivulana kikifanikiwa kuniimbisha nikalainika nilimwambia twende angaza hutaki wahi mbele kwa njia hii walijitosa 3 tuu kwenda kupima wengine wote walisema hata sikupendi kwanza mbaya hahahaaaa nikawa nacheka ila nashukuru mungu ndo njia iliyoniweka salama hadi hii leo, na tukipima game ni baada ya kupima mara ya pili chezeiya saka weye looh
 
Rura kumbe umepunguza ?me nafikiri umeacha jamani me nataka nisindikizwe na wakaka 2 hapa jf sijui watanikubalia?
hehehe!! Nimeacha na siku nikizidiwa no Kuteleza lazima nitupie kitu cha Rough Riders kama siyo Durex....hehehe..Kusindikizwa tena hahaha hapana Aisee we jisogeze kimya kimya
 
wapiiiiiii......hivi unazijua Genye wewe?yani mkipima game ni baada ya kupima mara ya pili???mmmmh..Embu ni-convince Lol
 
Hapo ndio utajijua kama ni mhalifu au la maana mhalifu ni lazima amuogope polisi lakini kama sio mhalifu ila ni raia mwema mwenye kufuata sheria huna haja ya kuogopa polisi. sakapal obama kaishaondoka ungana na mentor kwenda kupima.
 
Kwani kunishikia bango mwana wa mwenzio, mie huwa napima kila baada ya miezi sita niko safi labda mentali

Hapo ndio utajijua kama ni mhalifu au la maana mhalifu ni lazima amuogope polisi lakini kama sio mhalifu ila ni raia mwema mwenye kufuata sheria huna haja ya kuogopa polisi. sakapal obama kaishaondoka ungana na mentor kwenda kupima.
 
Kipi kipya, ukipima ukijua uko negative si unaishi kwa matumaini kwamba u mzima?? au umeelwaje??

Matumaini yako nilielewa matangazo ya ukimwi yanavyomaanisha wanaposema tunaishi kwa Matumaini,, maana yako nilikuwa sijaielewa
 
Sasa unadhani jibu la ukweli kuhusu status yangu utalipata hapa JF?? haha hyo kitu inabaki kuwa siri ya mtu ndio maana wanasema huwezi kumtambua kwani hata aliye positive atasema yuko negative. Iache ibaki siri yangu na Mungu kama ni +ve au -ve
 
Rura kumbe umepunguza ?me nafikiri umeacha jamani me nataka nisindikizwe na wakaka 2 hapa jf sijui watanikubalia?

Cynthia ebu niPM twende uko AMREF...

hehehe!! Nimeacha na siku nikizidiwa no Kuteleza lazima nitupie kitu cha Rough Riders kama siyo Durex....hehehe..Kusindikizwa tena hahaha hapana Aisee we jisogeze kimya kimya

Ahaha..mkuu endelea tu kuvuta kitu cha Arusha ila iyo mambo ya kuteleza potezea mangi...aya..

Hongera Mentor kwa maamuzi magumu....

Asante my dia..vp ushayafanya ww??!

Hapo ndio utajijua kama ni mhalifu au la maana mhalifu ni lazima amuogope polisi lakini kama sio mhalifu ila ni raia mwema mwenye kufuata sheria huna haja ya kuogopa polisi. sakapal obama kaishaondoka ungana na mentor kwenda kupima.

Mh...mkuu ata kama sio mhalifu apa bongo ukimuona polisi unajihisi tu...

I like your second point... sakapal do ze nidful. Cc: watu8
 
Last edited by a moderator:
Kipi kipya, ukipima ukijua uko negative si unaishi kwa matumaini kwamba u mzima?? au umeelwaje??

My dia..wewe ni mmojawapo niliotegemea wanisindikize...twende basi on ur next trip.
 
Heeeeh nilidhani mnasindikizana na mkeo? swala la kupima si la kwenda dada na kaka bali mtu patna wake. Mimi nitaenda na patna wangu wa kwenye jaza nafasi iliyoachwa wazi (...........)
 
NATAKA KUPIMA…

Ayayayaya….
We niache niende..niende niende….

Usiniulize kwanini sababu utanizingua, ukitaka jiunge na mimi mara ya mwisho ni lini we ulipima
Mi mwanzo sikuamini nikajuaga siezi ukwaa, kumbe mjinga ni mimi nayekula maganda meyatoa.

Oh uzinzi…uzinzi ulinifanya Muumba nikamzoea vibaya
Mi siezi pitisha hata siku bila kumuona Tina
Oh uzinzi…uzinzi ulinifanya Muumba nikamzoea vibaya
Na nina wengi ah..nimewapitia peeku.

Nataka kupima (PIMA)
Mi nataka kupima (PIMA)
Nataka kupima (PIMA)
Nikikutwa nianze dozi!!!!!

Ayayayaya….
We niache niende..niende niende….

Mi kwa uzinzi tajiiri, nkajivisha na taji la ubingwa
Sijali vimini-mini, ama wageti wanaofugwa ntawaomba
Kumbe wenzangu na mimi ni bure tu nlijisumbua
Wengine kama ishirini waliomba wakapewa na kavu wakagonga.

Oh uzinzi…uzinzi ulinifanya Muumba nikamzoea vibaya
Mi siez pitisha hata siku bila kumuona Tina
Oh uzinzi…uzinzi ulinifanya Muumba nikamzoea vibaya
Na nina wengi ah..nimewapitia peeku.

Nataka kupima (PIMA)
Mi nataka kupima (PIMA)
Nataka kupima (PIMA)
Nikikutwa nianze dozi!!!!!

Ayayayaya….
We niache niende..niende niende….kupima..kupima…

Wasalaam wapendwa,
Mentor!

NB:
Nimekaa nikafikiri, nimekuja kugundua WE ONLY LIVE ONCE..but if you live it right, ONCE IS ENOUGH. Nisingependa mwingine aje kuimba huu wimbo kama mimi.

Jitafakari…then jiulize, “NATAKIWA KUPIMA?” Nafsi ikikataa kwenda jiambie tu moyoni, “Ah, namsindikiza Mentor”..then, CHUKUA HATUA!!!!!

ngoja nikuchagulie tusi
 
Mh...mkuu ata kama sio mhalifu apa bongo ukimuona polisi unajihisi tu...

I like your second point... sakapal do ze nidful. Cc: watu8

Mkuu ikiwa hujui sheria na mipaka ya polisi, ukakosa kujiamini ndio unaweza kujihisi ukimuona polisi. Lakini hebu endelea kufanya kampeni ya nguvu ili watu wajitambue, wajue umuhimu wa kufuata sheria na kutii sheria (kama anatakiwa kuvaa koti la kuzuia rasasi avae bila ubishi, ukiambiwa hii sehemu ni hatari usipite kubali bila ubishi), hapo unaweza kujiamini na kutomwogopa polisi kwani hawezi kukuarrest ikiwa utazingatia sheria na kanuni.
 
Heeeeh nilidhani mnasindikizana na mkeo? swala la kupima si la kwenda dada na kaka bali mtu patna wake. Mimi nitaenda na patna wangu wa kwenye jaza nafasi iliyoachwa wazi (...........)

Tumekuwa kaka na dada lini??! #shocked

ngoja nikuchagulie tusi

Nimekuudhi nn mkuu appoh?

mi nshapima japo haikuwa ya hiyari ni kukamatwa kwa nguvu...

Ahahah...basi twende kwa hiari huenda ikawa ile siku vilijificha na vyenyewe kwa uoga...heheh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom