Nataka kupima UKIMWI

Nathd

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
290
210
Nimekuwa na wasiwasi kutokana na kutomwamini mpenzi nilie nae hivyo nahitaji kwenda kupima UKIMWI. Je ni hospitali ipi ambayo vipimo vyao ni vya uhakika na je huwa kuna gharama yoyote ile ya kupima ukimwi au huwa ni bure?
 
Nenda baba nenda safar njema.
Usisahau kupitia hapa karanga, mihogo na mapera ya kulia njiani
 
Nimekuwa na wasiwasi kutokana na kutomwamini mpenzi nilie nae hivyo nahitaji kwenda kupima UKIMWI. Je ni hospitali ipi ambayo vipimo vyao ni vya uhakika na je huwa kuna gharama yoyote ile ya kupima ukimwi au huwa ni bure?
Ghalama kubwa ni jinsi ya kupokea majibu lau kama viloba visingepigwa malfuku ningalikushauri ubebe ili wakati wakusubili majibu uwe unajimiminia labda ungestahamili ktk kupokea hayo majibu maana kwa jinsi nimjuavyo huyo mpenzi wako sizani kama utanusulika na hilo
 
sasa si upime tu jamaniii auuu
 
Ghalama kubwa ni jinsi ya kupokea majibu lau kama viloba visingepigwa malfuku ningalikushauri ubebe ili wakati wakusubili majibu uwe unajimiminia labda ungestahamili ktk kupokea hayo majibu maana kwa jinsi nimjuavyo huyo mpenzi wako sizani kama utanusulika na hilo
hahahah
 
Nimekuwa na wasiwasi kutokana na kutomwamini mpenzi nilie nae hivyo nahitaji kwenda kupima UKIMWI. Je ni hospitali ipi ambayo vipimo vyao ni vya uhakika na je huwa kuna gharama yoyote ile ya kupima ukimwi au huwa ni bure?
kwingine ni buree kwingine pesa
 
Back
Top Bottom