shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,319
Kapime tu
mara kwa mara we mara ya mwisho umeenda lini?Hongera kwa kuchukua uamuzi huo. Ni vizuri kupima mara kwa mara
hahahhhhkupima ni bure.. nenda hospital yoyote wanapima kwa uhakika... hiyo hela uliyotaka kulipia nunua dumu la maji ili yakikukuta waweze kukumwagia uzinduke!
mambo...!hahahhhh
Hahaaa! Wacha kumtisha mana keshasema hamwamini aliye naye.kupima ni bure.. nenda hospital yoyote wanapima kwa uhakika... hiyo hela uliyotaka kulipia nunua dumu la maji ili yakikukuta waweze kukumwagia uzinduke!
Ili ukishajua unao uutibu?![]()
bora kufahamu kuliko kuishi gizani
Nimepima jana, dah nilipata dehydration kubwa kweli, hadi majibu yalipotoka aiseeee, inataka moyo ila nimefurahi baada ya hapo.Unachoenda kukitafuta ili ukione mwilini mwako utakipata
Nenda baba nendaaaaa
Ohooooo!!!kupima ni bure.. nenda hospital yoyote wanapima kwa uhakika... hiyo hela uliyotaka kulipia nunua dumu la maji ili yakikukuta waweze kukumwagia uzinduke!
Bora kuishi gizani kuliko kufahamu![]()
bora kufahamu kuliko kuishi gizani
Umenichekesha sana mkuu sijui kwa nini hili tatizo la UKIMWI limekuwa si la ujasiri kama kwenda kupima malaria japo mbali na kutokuwa na dawa.kupima ni bure.. nenda hospital yoyote wanapima kwa uhakika... hiyo hela uliyotaka kulipia nunua dumu la maji ili yakikukuta waweze kukumwagia uzinduke!
Hahahah jamaa jasiri mno.Unachoenda kukitafuta ili ukione mwilini mwako utakipata
Nenda baba nendaaaaa