Nataka kupima UKIMWI

Nataka kupima UKIMWI

Hapo trafic polisi wanapima na mpiga debe yupo kuna hospitali iko kati kati ya ofisi ya siro na mpinga breckdown njoo sasa hivi mkuu unapimwa wewe na huyo mpenzi wako hofu itakutoka na utakula vitu kwa amani
 
Hivi inakuaje unapima mara ya kwanza, unaenda tena ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano....... n.kuendelea utakuwa unatafuta nini jamani
 
Nimekuwa na wasiwasi kutokana na kutomwamini mpenzi nilie nae hivyo nahitaji kwenda kupima UKIMWI. Je ni hospitali ipi ambayo vipimo vyao ni vya uhakika na je huwa kuna gharama yoyote ile ya kupima ukimwi au huwa ni bure?
Na mrejesho ulete
 
Ghalama kubwa ni jinsi ya kupokea majibu lau kama viloba visingepigwa malfuku ningalikushauri ubebe ili wakati wakusubili majibu uwe unajimiminia labda ungestahamili ktk kupokea hayo majibu maana kwa jinsi nimjuavyo huyo mpenzi wako sizani kama utanusulika na hilo
 
Hivi inakuaje unapima mara ya kwanza, unaenda tena ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano....... n.kuendelea utakuwa unatafuta nini jamani
Unakuwa unatafuta uhakika
 
Unapimaje kitu hakina dawa mkuu,ukishapima then what,arv?? Achana nao vumilia tu dawa itapatikana.
 
hivi vipimo vya kujipima mwenyewe vinapatikana kwenye duka la dawa lolote?
 
Kama shida yako ni kupima tu, nenda kapime alafu kabla ya majibu hayajatoka pita hivi,
majibu yataisaidia jamuhuri mwenye tafiti
 
Bashite aliwahi kusema atapita nyumba kwa nyumba kupima wakazi wa jiji lake hajapita tu?
 
Watu wengi hupata VVU pale tu wanapohisi wameathirika na kuamua kujiachia, kumbe hawana! Nilitaka kuingia kwenye huu mtego nikajitambua mapema na kupima.
Faida ya kupima ni kuwa na uhakika na malengo yako!!
 
Back
Top Bottom