Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 7,029
- 9,275
Nisikufiche mkuu, from true experience. Kama utaoa nurses, wanatamaa sana za kipesa na kitaaluma, wanashobo zilizopita kiwango kwa madaktar wa kiume, hii hupelekea wawe wana lalwa sana na madaktar katka hosp/taasisi husika. Wana umuch know flan ambao nadhan umetokana na wao kukutana na watu wengi sana [wagonjwa] na watunzaji ambao kwa kiasi kikubwa huwa wapole na wanyenyekevu mbele ya hawa manurse, lakn pia kufaham mengi kuhusu mwili wa binadamu...haya mambo yamefanya wawe much know sana hata kweny mambo hata ya kijamii hata kama hawajui kitu, hii pia imezalisha tabia ya kupenda kuwa dominator ndani ya mahusiano au ndoa. Lakn pia night shift nying za hawa nurses, docts, labs, na pharms wana lalana sana na hyo ni hata bila kuwa na mahusiano.