Nataka kuoa nesi au daktari, naombeni ushauri

Nataka kuoa nesi au daktari, naombeni ushauri

Lamana zaidi tambua kwamba Hawa ni watu wa shift zingatia Hilo mengine ni matokeo Kama mafuta ya break
 
Tatizo waalimu wa kike wambea sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Samahanini walimu
Ni kweli[emoji23]

Sema Kwa haraka haraka tu watoto wengi wa walimu huwa wana malezi bora sanaa

Pia walim wana mda mwingi sana free, ndo maana kila mda unamwona To yeye humu[emoji23]

Pia hawanaga shift za usiku, usiku mwalimu lazma awe nyumbani, manesi wengi na madaktari wanatumia kigezo cha shift za usiku kuchepuka
 
Mkuu wewe na Evelyn Salt mnataka kunigombanisha na dadangu To yeye na hanaga shida kabisa😁
 
Hapo jiandae na nusu kaputi ukimzingua.....some ni"MUCH KNOW",wengne ma~FEMINIST wa chini chini!!oa ila jiandae kufua zile koti nyeupe!obheja
 
Back
Top Bottom