Nataka kuoa nesi au daktari, naombeni ushauri

Nataka kuoa nesi au daktari, naombeni ushauri

Ni kweli[emoji23]

Sema Kwa haraka haraka tu watoto wengi wa walimu huwa wana malezi bora sanaa

Pia walim wana mda mwingi sana free, ndo maana kila mda unamwona To yeye humu[emoji23]

Pia hawanaga shift za usiku, usiku mwalimu lazma awe nyumbani, manesi wengi na madaktari wanatumia kigezo cha shift za usiku kuchepuka
Nimekupenda mno
 
si tulikubaliana mwanamke yoyote anae fanya kazi ni feminist au kikao kiliendelea sikuwepo. Oa mmama wa kukaa nyumbani hao wana heshima na maofisini hawakigawi. Hizi ndo notes nlizotoka nazi kikaoni
Unawajua bodaboda wewew [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hao ndo wanaokula wamama wa nyumbani so hamna jema ndugu yangu ni kuomba Mungu tu
 
Kuna mwalimu wa shule ya msingi hatakaa anisahau nilichomfanyia paredi🤣
Na ulivyo na tabia mbaya,em ishia hapohapo kaka😭 sijui ulimfanyaje....but it's okay.Ndo ivo
 
Na ulivyo na tabia mbaya,em ishia hapohapo kaka😭 sijui ulimfanyaje....but it's okay.Ndo ivo
Haha tabia mbaya niitolee wapi?😅😅😋
Huyo ticha bhana alikuwaga mnoko halafu mpenda sifa.
Tukiwa paredi ya saa 9 hivi tuko na majembe tunasubiria tupangiwe maeneo ya kufanya usafi wa majani...aliniita sikusikia vizuri...papo hapo akanitania, ghafla shule nzima ikacheeka sana.

Baada ya kicheko akaniita tena...nikagoma kwenda maana hasira ilinijaa kwa wanafunzi kucheeka.

Ndipo akawa anakuja kwa spidi anitandike na lifimbo kubwa sana.

Nilichofanya niligeuza jembe na kulitoa kwenye mpini...nami kwa haraka nikamwendea na mpini nikiwa na hasira kama nyati.
Ticha alitimua mbio sana hadi kujifungia ofisini🤣😂

Wanafunzi walicheka sana na wakapiga ile miluzi ya kinafiki kushangilie hulo timbwili😅
 
Unawajua bodaboda wewew [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hao ndo wanaokula wamama wa nyumbani so hamna jema ndugu yangu ni kuomba Mungu tu
Aaah waume zao wakikuskia watakubishia hadi kiama🤣 wanakwambia wake waliopo majumbani wana heshima hawatoki nje🤣 nacheka napaliwa wallah🤣
 
Poa, ila akiwa shifti za usiku utajikunyata mwenyewe na huko hutajua kinachoendelea.
 
Habari ya muda ndugu zangu,

Baada ya ndoto zangu za kuoa mwalimu kugonga mwamba sasa nina mpango wa kuoa mwanamke ambae ni nesi au daktari. Naombeni wenye uzoefu na wanawake / wenye wake ambao wanataaluma hizi wanipe mawili matatu..

NB: Nipo nao eneo moja la kazi na nimeangaza angaza macho sana wanaonekana wakarimu sana tukiwa nao kazini au waki hudumia wagonjwa, sasa sijajua kiundani katika maswala ya ndoa wapoje.

Wenye mawili matatu wanisaidie, natanguliza shukrani za dhati.
Achana na hizo sifa za jumla, dili na individual maana huoi daktari ila unaoa individual who happened to be a doctor

Usijichanganye
 
Back
Top Bottom