Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Ni kweli mkuu,kila mmoja anataka maendeleo mazuri,mambo ya kushika chaki na kuishia kwenye ugonjwa wa pumu hauna tija.
Mimi mwenyewe zamani nilikuwa nimekariri kwamba nitafute mwalim au nesi ndio nioe.
Basi ikawa kila nikichunguza naona wote chenga.
Mwisho wa siku nikaja kumpata mke mwenye vigezo na mtulivu sana,hakuwa mwalimu,nesi wala mwanasheria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom