interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Watu wanaoa kazi, pesa au makalio makubwa siku hizi tabia njema ni mwiko kwa kizazi chetu cha akina Marioo
Kumbe siku hizi kudumu ama kutodumu kwenye ndoa inategemea na profession ya mtu? sikujua hili nilidhani inategemea na mtu mwenyewe.![]()

