Nataka kuoa jini

-panda kwanza mti wa mkungu nje kwako..
ukishapanda nijuze hapahapa live nikupe next stage..all the best..
 
Nilikuambiaga Acha Utoto dogo.

Unatia aibu mkuu.
Kama upo chuo duuuuuuu kazi kweli kweli.

Unawaza mambo ya ujinga(sio tatizo) tatizo ni kuyatoa mbele ya Halaiki. Kazi kweli kweli
 
Mpaka anajua navyakula vyao itakuwa na yy ni jini ndo mana anataka kuoa jini mwenzake
 
Silishangai sana wazo lako.Hilo jina lako HR 666 linaonyesha wazi kwamba inawezekana tayari una uhusiano na hayo madude na uko on duty kuwashawishi wanadamu wayaoe.Hata hivyo be careful,kwa kuwa unachokifanya ni against God's will na kuna hukumu mbaya na kali baadae.
Kwani ni lazima niamini unachoamini wewe?

Na pia ukisoma surat qafiroon wameeleza hivyo kwamba kila mtu abaki na dini yake

So usinifatilie mimi jali yako ndugu
 
Nilikuambiaga Acha Utoto dogo.

Unatia aibu mkuu.
Kama upo chuo duuuuuuu kazi kweli kweli.

Unawaza mambo ya ujinga(sio tatizo) tatizo ni kuyatoa mbele ya Halaiki. Kazi kweli kweli
Fanya yako ndugu

Kwani umekuja JF kutafuta ya wenzako au kutafuta yanayokuhusu?
 
Ndio uache utoto dogo siku nyingine utaombwa 0713
Wewe ndiye mtoto na mawazo yako pia ya kitoto na ndio maana ukianzisha uzi haupati views wa kutosha walla replies za kutosha

So kubishana na mimi nitakuwa najishushia heshima

Mm nyuzi zangu zingine zina views mpaka 30K wewe ushawahi kufikisha??
 
Hahahahaa!!
Utoto raha
 
Back
Top Bottom