Nataka kuoa ila masharti magumu

mh! yaani unataka kuoa ili usaidiwe kulea au unaoa ili uwe na mwenzi umpendaye???? Huyo wa kwanza uliyempa ujauzito mbona hukumwoa??

naona sasa hivi UNAVUNA ULICHOPANDA - vuna mavuno yako - usitake usaidiwe - bye
 
sitaki kusaidiwa kulea ila nataka mwenzi nimpendae. kulea naweza bila hata tatizo lolote. kwani sininalea hata sasa na hakuna asiyekua shule tena shule bora. kuvaa fresh kabisa. kula ndo usiseme ila wakati umefika nataka kuondoa upweke nlo nao. hakuna cha mavuno hapa. je ungesemaje kama niliwatupa wanangu kama wafanyavyo wengine?
 
kwa taarifa yako wanaume viwembe huwa hawajiachii kwa kuza ovyo ovyo hivyo............................................
si hivyo unadhani. usichukulie msemo samaki mmoja kuoza na mtungo pia. nadhani ungestahili kunipongeza kwa juhudi za kuwalea hawa watoto na sio kunikashfu. utasemaje sasa kwa wale wanaozaa na kuwakimbia watoto au hata kuwatupa kwenye mapipa? mkuu usinivunje moyo banaa.
 
Mkuu! hilo tatizo liko sawa na la mshikaji wangu lakini yeye walikuwa ni watoto wawili tu, alioa mwanamke mjane maisha yao yako poa sana na mwanamke ametulia hana tatizo kabisa, tangaza ndoa na mjane na uji express kabisa naamini utapata tu
 
Haha..ati ntashaa..na nani!??
nishaacha uzinzi mwenzio and thank God sikupata hiyo punishment (ndiyo naiita punishment...refer charndams's situation)...sasa hivi nimetulia..av seen my miss right, we just taking our sweet time towards a lifetime together!!!
Sasa huyu mara nne!?? kweli??? hauwezi kuwa haujalew..
Chonde chonde...Ulevi, noma!lol
mentor mi si mlevi wala hata kileo situmii. kama ulikua msherati ukaponea mshukuru mungu. mimi si msherati hata kidogo. i am a very responsible guy na ndo maana nimeweza kufight hadi kuwapa wanangu malezi wanayostahili. nawatembelea mashuleni, nawapa support ya kutosha inayopaswa kwa mtoto. ingelikuwa wewe ndo mimi sasa i swear ungeliomba ardhi ipasuke ikufunike. au inavyoonyesha wewe hata sio responsible, huyo uko naye i bet labda ni wa ishirini na sidhani utakaa naye manake hujapitia magumu
 
Mkuu! hilo tatizo liko sawa na la mshikaji wangu lakini yeye walikuwa ni watoto wawili tu, alioa mwanamke mjane maisha yao yako poa sana na mwanamke ametulia hana tatizo kabisa, tangaza ndoa na mjane na uji express kabisa naamini utapata tu
sikubaliani na wewe!! eti kutake advantage ya wajane?? kwani unaona wajane ndo viumbe dhaifu sio? sasa kwa taarifa yako subiri tu hapa jamvini nitakupa bonge la ripoti hutaamini. come on usio hivo bana...kila mmoja wajane...wajane...no way nimekataa na sitaki ushauri wako kama ndo huo
 
Hapo bold nimepapenda lazima upende wanao bwana. Kuhusu kuoa mh! inabidi uvute subira maana mtu akisikia watoto wanne lazima astuke kidogo. Ila hakuna linaloshindikana utapata tu ubavu wako.

thank you. you have spoken
 
mentor mi si mlevi wala hata kileo situmii. kama ulikua msherati ukaponea mshukuru mungu. mimi si msherati hata kidogo. i am a very responsible guy na ndo maana nimeweza kufight hadi kuwapa wanangu malezi wanayostahili. nawatembelea mashuleni, nawapa support ya kutosha inayopaswa kwa mtoto. ingelikuwa wewe ndo mimi sasa i swear ungeliomba ardhi ipasuke ikufunike. au inavyoonyesha wewe hata sio responsible, huyo uko naye i bet labda ni wa ishirini na sidhani utakaa naye manake hujapitia magumu

Keep on swearing brother, mwenye watoto wanne si mimi,lol!
Seriously, sijapitia mambo magumu ila hayo yako umejipitisha kwa kweli...!
Dada niliye naye ni wa pili tu na sitaki ku experience yaliyokukuta..am sorry bro, nimejifunza kutokana na makosa ya wengine!
Ushauri wangu haubadiliki, usifikirie kuoa muda huu...get busy kuwatunza na kuwapa malezi bora wanao..watoe boarding (miaka 12 unless wewe ni external auditor ama expatriate ivi unasafiri sana) kaa nao nyumbani, wajifunze kuwa pamoja na kupendana kama ndugu, maana hiyo nayo shughuli. Huyu mama yake kaja kumtembelea kila leo, mwenzie hajaja mwezi,lol..sijui, ila sidhani kama huu ni wakati muafaka wa kutafuta mke tena kaka!
 
i know what am doing Mentor. integrating the kids is out of question. i know how to play it smart brother. in fact hata walio shuleni hakuna mama anayefahamu wako shule gani. 12 yrs and 9 yrs in boarding is not funny, there plenty as young as 3 yrs. after all they are well taken care of. hata kama ni kuoa i agree with you it will take time, may be when i am 33-35 yrs maximum otherwise wacha ikae kama sitakua nimepata mrembo. anyway thanks for your contribution. i do appreciate
 
Ngoja kwanza..now av got to get a bit more serious!
Unamaana hawa watoto uliwachukua kwa nguvu kutoka kwa mama zao? do you mean mama zao hawaji kuwatembelea? don't you think that will affect them somehow?
It is not funny kwa kumpeleka mtoto wa miaka 12 and 9 boarding, unless there is a very strong reason to do so..au ndo hiyvyo ili mama zao wasije "kuwaiba"?
Vipi hao wawili wadogo?
Man, u have a lot to think and ponder abt your children's future-with themselves, you and their mothers- kiasi kwamba sioni ukioa before 40 years!
All the best..unahitaji likizo kabisaaaa ya kufikiria haya.
Thanks for your appreciation!
 
hapana si kuwaiba. nilisema hapo awali mama wawili wamekwisha olewa so walinikabidhi wanangu. secondly i only give chance for the women to see the kids during holidays at home ( where i was born). my mother pays attention to the kids in such away that the entire holiday becomes exciting to the children. i do also have enough time with them before they resume school. as for the other kids they are still with their mothers and i do pick them during holidays to have fun with their grandma and return them to their mothers once the school resume. i have no intention to grab any child without their mothers' consent. i do respect the rule of law. i do pay attention to every child under any circumstance as a real father. ikifika wakati hao wawili pia wanataka kuolewa na kunipa watoto sawa, wakishikilia kuishi nao pia ni sawa ila mchango wangu kwao utabaki palepale. marrying at 40????si kweli even if the saying goes "life begins at 40"
 
kama ni kichekesho kuliko hii yako, hahaha tucheke pamoja! samahani nakushambulia, lakini natamani ungejaribu ku-focus na kuwajibika kwa matendo yako mwenyewe! ungepata single parent mkalea wenenu pamoja, ila kuongeza timu tena? hela sio issue banaa, kina obama wana watoto 2 na bush na clinton unawaona!
kila la kheri,ukitangaza mchakato nadhani na mie ni-taapply ila inabidi ufaulu interview yangu,lol!
ahahahahahah...hii yako sasa kichekesho. mimi sina malaria dogo ni hali halisi ilivyo. nina miaka 3 sijaloweka kwa yeyote. mfano mwezi jana nilichukua likizo sikwenda popote ila ulikua wakati wangu mzuri wa kutafakari na kujisaili na jibu nimepata. nataka kuoa mke na wala sitaki MWANAMKE WA KUMFANYIA TESTING KAMA GARI KABLA HUJALINUNUA. niko serious na sifanyi mzaha beste. hai na hai mbuya..ngiaria tiki mwanamae
 
hapana si kuwaiba. nilisema hapo awali mama wawili wamekwisha olewa so walinikabidhi wanangu. secondly i only give chance for the women to see the kids during holidays at home ( where i was born). my mother pays attention to the kids in such away that the entire holiday becomes exciting to the children. i do also have enough time with them before they resume school. as for the other kids they are still with their mothers and i do pick them during holidays to have fun with their grandma and return them to their mothers once the school resume. i have no intention to grab any child without their mothers' consent. i do respect the rule of law. i do pay attention to every child under any circumstance as a real father. ikifika wakati hao wawili pia wanataka kuolewa na kunipa watoto sawa, wakishikilia kuishi nao pia ni sawa ila mchango wangu kwao utabaki palepale. marrying at 40????si kweli even if the saying goes "life begins at 40"

be back kesho...bookmark!
 
kama ni kichekesho kuliko hii yako, hahaha tucheke pamoja! samahani nakushambulia, lakini natamani ungejaribu ku-focus na kuwajibika kwa matendo yako mwenyewe! ungepata single parent mkalea wenenu pamoja, ila kuongeza timu tena? hela sio issue banaa, kina obama wana watoto 2 na bush na clinton unawaona!
kila la kheri,ukitangaza mchakato nadhani na mie ni-taapply ila inabidi ufaulu interview yangu,lol!
king'asti sasa unanifananisha na mzungu???mimi mtanzania ngozi nyeusi. achana na obama hiyo ni culture yao. wee iga ufe. kwani hebu niambie kwenu mko wangapi? babako angefanya kiobama au kiclinton ungezaliwa wewe? acha hizo tanzania kubwa
 
Back
Top Bottom