Nataka kununua simu budget 650000 mpaka 700000

Nataka kununua simu budget 650000 mpaka 700000

Sawa, lakini jiulize utapata faida gani ikiwa kwenu kijijini hauna hata kibanda cha mavi ya ng'ombe. Huoni kama hizo laki 7 zitanunua mavi ya ng'ombe ya kutosha pamoj na cement kujenga kibanda cha bibi yako?
How do you know kama hana kibanda? poverty thinking kwa kuwa wewe huna unafikiri kila mtu hana, hapa mtoa mada kaomba ushauri wa simu sio wa namba ya ku prioritise matumizi yake, ndio maana mkataka kuwe na div 5, mtaisoma namba mwaka huu
 
...teh hee hee!
..hukumsaidia kutafuta,usimpangie matumizi!
 
Watu wanahela zao na matumizi yao...we km simu kali sio inshu kwako umezoea vitochi, pita kule..acha kutoa macho!!!
[emoji57] [emoji57]

Unamjua mtu mwenye hela wewe?? Mtu mwenye hela anakuja hapa JF kuuliza simu ya kununua kweli??
 
Unamjua mtu mwenye hela wewe?? Mtu mwenye hela anakuja hapa JF kuuliza simu ya kununua kweli??
Nimekwambia watu wanahela zao...au kwako wewe mtu mwenye hela, zinaanzia ngapi?? Mie mtu hata km ana buku yake ni hela yake..hainihusu et mpaka nianze kuingilia matumizi yake
 
Unaweza ukawa una Hela but Ujuz wa Vitu flan ukakosa na ndo hapo we ambae una ujuz unapomshaur asiekuwa na Ujuz wa vitu
 
How do you know kama hana kibanda? poverty thinking kwa kuwa wewe huna unafikiri kila mtu hana, hapa mtoa mada kaomba ushauri wa simu sio wa namba ya ku prioritise matumizi yake, ndio maana mkataka kuwe na div 5, mtaisoma namba mwaka huu

Namsaidia kuona mbele. Vijana wengi hawajitambui siku hizi. It's a free advise, umeumia wapi? Pole lakini, didn't wanna hurt your feelings kwa kuguswa kihivyo.
 
Samsung S 5 IPO mpyaaaa
Kwa range ya 500000-600000 unaniconsider je mkuu
Acha kushangaa Mkuu, nicheki 0654776976, au njoo dukani kwangu nikupe simu kali mpyaa tena yenye uwezo wa 4G na vifaa vyake vyote, chagua kati ya hiz, zote ni kali ila chagua mwenyewe brand unayopenda kati ya LG G4 ya 32GB, samsung note 4 ya 32GB, samsung A7 ya 16GB, huawei P8 64GB, Samsung galaxy s6 ya 32GB, Huawei Mate 7 ya 32GB, Sony Xperia z4 ya 32GB au Iphone 5s ya 64GB....karibu!!
 
Tafuta Nokoa 1200 ya tochi itadumu miaka mingi na betri ni siku saba
 
Chukua samsung tab s. t705, kwa 650k.
Nenda google kwa specifics kisha nitafute kwa 0687 089980..
 
Back
Top Bottom