Nataka kununua samsung j7 au samsung nyingine nzuri

Habari wakuu,

Nimejichanga kufikia Tshs. 600, 000/-. Naomba kujua uzuri wa samsung j7 kwenye memory, battery na camera na durability, au kama kuna samsung aina nyingine yenye kiwango na nzuri kulingana na bajeti yangu.

Nawasilisha wakuu, naomba michango yenu.
Nina simu hizi mpyaaa nauza
Samsung Galaxy J7 499,000/=
Samsung Galaxy j5 399,000/=
zote ni boxed with warranty
0714883861
 
Back
Top Bottom